halafu ukifanya kitu utaitwa mnyama au katili kwa Pumbavu kama hizi zikibainika...wajameni dawa ya Mpumbavu ni kumfanyia unyama au zaidi ya unyama iki mpumbavu mwingine akae sawa..
Huu mradi haujalishi ni hasara ua faida, tayari hela imeshawekwa pale na kazi imeshaanzishwa na mikataba ishasainiwa hamna namna lazima uishe maisha yaende mbele...sass likitokea Pumbavu hakuna namna zaidi ya unyama na ukatili tu...
Sio huu tu hata huko nyuma ipo mipumbavu ilisaini mikataba ya hovyo kwa manufaa ya familia zao, michepuko, wapambe nk ikawa mitajiri kupindukia yenyewe na familia zao na bado ikatukana watanzania kwa kuwaita wavivu huku yenyewe ikifilisi mali za umma na kuwaambia vijana wetu eti wajiajiri huku wao na mpaka mashemeji wakiajiriwa kwa vimemo...PUMBAVU kama hizi ni unyama tu na ukatiri ili vizazi vijifunze ukitia hasara wanaoathirika ni mamilioni ya watanzania...
Jitu uani limejaza MaV8 nane ajira wapi? mtumishi wa umma chanzo cha mapato ni rushwa tu kuwasnitch watanzania wenzie, wengine madalali wa mabeberu na kuwauza ndugu zao kijingakijinga matokeo yake mambo hayaendi....unataka nini kwa watu kama hawa kama si ukatili tu...