Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 26,829
- 38,912
Wewe acha ujinga mkuu,! Yani kabisa akili zenu mmewekeza kwa kigogo?Unasema habari za kuokoteza wakati jamaa ana nyaraka nyingi tu na kila siku anazivujisha?
Wewe acha ujinga mkuu,! Yani kabisa akili zenu mmewekeza kwa kigogo?Unasema habari za kuokoteza wakati jamaa ana nyaraka nyingi tu na kila siku anazivujisha?
Mataga huna data wewe andika mambo ya kusifiaUFIPA bana kwa habari za kuokoteza?? kwa vichwa vibuyu kama hivyo mnataka na kwenda Ikulu! Eti Mange na Kigogo ndo sources za taarifa zenu
Kazi tunayo mkuu awamu hii!!!Mzalendo Mpigaji Nyerere Alitoka Ikulu Ajajenga Hata Nyumba Yakuishi Kwao, Leo Takakaka Zinafananishwa Naye! Majizi
Kwa tuhuma hizi, sijui kama atakuja kuachia hiyo ofisi.Mzalendo Mpigaji! Nyerere Alitoka Ikulu Ajajenga Hata Nyumba Yakuishi Kwao, Leo Takataka Zinafananishwa Naye
Zinakusanya Pesa Kupitia Miradi Yote Ya Ujenzi Na Ndege Bado Anajilipa 1.2bilion per month! rais jizi kuliko hata Mkapa na Kikwete.
Mzalendo Mpigaji! Nyerere Alitoka Ikulu Ajajenga Hata Nyumba Yakuishi Kwao, Leo Takataka Zinafananishwa Naye
Zinakusanya Pesa Kupitia Miradi Yote Ya Ujenzi Na Ndege Bado Anajilipa 1.2bilion per month! rais jizi kuliko hata Mkapa na Kikwete.
Kwahiyo mmempiga pini ili kumziba mdomo?Kwani nyaraka ikishaingia Bungeni si inaweza kutolewa kwa umma hata kupitia mitandao?Acha ukiliza!!Nani alikwambia nyaraka iliyoingia au kuwekwa Bungeni ni nyaraka ya siri au ni kosa kuitoa hadharani?
Umeshindwa kuweka ushahidi sasa unarukaruka kama kunguru?Kwa tuhuma hizi,sijui kama atakuja kuachia hiyo ofisi.
Umelewa kilichoandikwa au ukada umekuzidi?!Kuna vijana mnatia aibu ujana mnapinga mpaka maendeleo kwa faida yenu utadhan daraja anapita mtoto wa jpm
Badilika mnatia aibu bavicha
Kila kitu ujuaji wakati mnashindwa kujenga chama chenu
Kilichojengwa pale Ubungo ni takataka lisilo na mpangilio wowote. Wawe wamekula au hawajala ila lile ni takataka la kutupa dampo 👋👋👋👋Katika pitapita yangu mitandaoni,nimekutana na habari iliyoibuliwa na Bwana mmoja huko twitter kuhusu gharama ambazo serikali imetumia katika kugharamia ujenzi wa huo mradi ambapo muhusika ametoa nyaraka inayoonekana ni nyaraka iliyoandaliwa kwa ajili ya kujadiliwa Bungeni ikionyesha fedha zilizotengwa na serikali kwa ajili ya kugharamia huo miradi.
Kama nyaraka hiyo ni ya kweli(sio feki), basi serikali itakuwa ilitenga jumla ya shilingi bilioni 10 kwa ajili ya ujenzi wa Ubungo interchange(nyaraka inaaonyesha zimetengwa bilioni 10).
Lakini mradi huu tunasoma kuwa utajengwa kwa mkopo wa Benki ya dunia ambapo utagharimu bilioni 200.7 bila VAT(kwa mujibu wa gazeti la Habari leo mtandaoni la tarehe 04/04/2019).Nitaweka link hapo chini.
Mkanganyiko huu ndio umenifanya kutafuta habari zaidi kuhusu gharama ambazo serikali imechangia na ndio nikakutana na hilo gazeti la HabariLeo ambapo limeandika kuwa serikali ilitoa kiasi cha shilingi bilioni 1.2 kulipa fidia wananchi na kwamba mradi huo unagharamiwa kwa mkopo kutoka benki ya Dunia.
Cha kujiuliza hapa ni hiki:kama serikali ilitoa bilioni 1.2 kwa ajili ya kulipa fidia wananchi waliotakiwa kupisha huo mradi,hiyo bilioni 10 inayoonekana katika hiyo document ya Bunge inayoonyesha zilitengwa bilioni 10 kwa ajili ya mradi huo zilitumika kufanya kazi gani?
Kama hiyo document ni feki,kwanini serikali au Bunge wasikanushe?
Zitto wewe kama mbunge na member wa JF,tusaidie kuhusu hiyo nyaraka na ukiweza tupe ufafanuzi wa hiyo bilioni 1o kama ilipitishwa na Bunge kama ilivyo au kama kulikuwa na makosa ya wakati waanaandaa hiyo document na baadae wakarekebisha.
Subiri mashambulizi kutoka kwa MATAGA!!!Kilichojengwa pale Ubungo ni takataka lisilo na mpangilio wowote. Wawe wamekula au hawajala ila lile ni takataka la kutupa dampo 👋👋👋👋
Hiyo Mijamaa ni mijitu inayoiba na kusaza ndio maana kutwa humu kuitetea sirikali ya CCM!! Kigogo amesema ataweka wazi Payroll zao TEETH na PISITHIBII jinsi wanavyopandishiwa Mishahara kila mwaka na Allowances kama ZOTE zinatoka kama FEDHA ZA MALIPO MAALUMU.ccm imejaa majizi toka juu hd kwa akina bia yng na wengineo...