Ujenzi wa daraja la Ubungo: Serikali itoe ufafanuzi wa hela iliyotumika katika ujenzi huo

UFIPA bana kwa habari za kuokoteza?? kwa vichwa vibuyu kama hivyo mnataka na kwenda Ikulu! Eti Mange na Kigogo ndo sources za taarifa zenu
Mataga huna data wewe andika mambo ya kusifia
 
Mzalendo Mpigaji! Nyerere Alitoka Ikulu Ajajenga Hata Nyumba Yakuishi Kwao, Leo Takataka Zinafananishwa Naye

Zinakusanya Pesa Kupitia Miradi Yote Ya Ujenzi Na Ndege Bado Anajilipa 1.2bilion per month! rais jizi kuliko hata Mkapa na Kikwete.
Kwa tuhuma hizi, sijui kama atakuja kuachia hiyo ofisi.
 
Mzalendo Mpigaji! Nyerere Alitoka Ikulu Ajajenga Hata Nyumba Yakuishi Kwao, Leo Takataka Zinafananishwa Naye

Zinakusanya Pesa Kupitia Miradi Yote Ya Ujenzi Na Ndege Bado Anajilipa 1.2bilion per month! rais jizi kuliko hata Mkapa na Kikwete.

Toa ushahidi vinginevyo ni majungu na propaganda tu mlizozizoea hapa JF na kiranja mkuu naona anashangilia.
 
Kwahiyo mmempiga pini ili kumziba mdomo?Kwani nyaraka ikishaingia Bungeni si inaweza kutolewa kwa umma hata kupitia mitandao?Acha ukiliza!!Nani alikwambia nyaraka iliyoingia au kuwekwa Bungeni ni nyaraka ya siri au ni kosa kuitoa hadharani?

Absolutely na siku zote adui yako mwombee njaa.
 
Kuna vijana mnatia aibu ujana mnapinga mpaka maendeleo kwa faida yenu utadhan daraja anapita mtoto wa jpm

Badilika mnatia aibu bavicha

Kila kitu ujuaji wakati mnashindwa kujenga chama chenu
 
Yaan bunge likae kujibu upuuz huu kesho mjisifu mmejibiwa?/no more kick
 
Kuna vijana mnatia aibu ujana mnapinga mpaka maendeleo kwa faida yenu utadhan daraja anapita mtoto wa jpm

Badilika mnatia aibu bavicha

Kila kitu ujuaji wakati mnashindwa kujenga chama chenu
Umelewa kilichoandikwa au ukada umekuzidi?!
 
Kwani Zitto kashiriki kupiga zile 8 Billions za wabunge? yenu yanawashinda ya nchi mtayaweza vipi?
 
Kilichojengwa pale Ubungo ni takataka lisilo na mpangilio wowote. Wawe wamekula au hawajala ila lile ni takataka la kutupa dampo πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹
 
Kilichojengwa pale Ubungo ni takataka lisilo na mpangilio wowote. Wawe wamekula au hawajala ila lile ni takataka la kutupa dampo πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹
Subiri mashambulizi kutoka kwa MATAGA!!!
 
Yaani gharama za mwanzo ni bil 10 ilizotenga serkali, baadae imetumia bil 200 za mkopo.?
Halafu unaanini uko sawa kiakili
 
ccm imejaa majizi toka juu hd kwa akina bia yng na wengineo...
Hiyo Mijamaa ni mijitu inayoiba na kusaza ndio maana kutwa humu kuitetea sirikali ya CCM!! Kigogo amesema ataweka wazi Payroll zao TEETH na PISITHIBII jinsi wanavyopandishiwa Mishahara kila mwaka na Allowances kama ZOTE zinatoka kama FEDHA ZA MALIPO MAALUMU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…