mik van vex
Senior Member
- Jan 13, 2018
- 101
- 170
Achana na ujenzi njoo nikuuzie nyumba yangu kibada ni ya kisasa na ukubwa eneo 800SQMWadau nawasabahi. Nimebahatika nimepata kiwanja Eneo la Mkorea njia ya kwenda Kibada chenye ukubwa wa 20mx30m. Mipango yangu nikujikakamua nijenge Ghorofa 1 ya vyumba 3 jiko dinning vyoo na sebule.
Ombi kwenu ni makisio na hatua za kufuata za ujenzi pia kama itawezekana kujua idadi ya nondo kila nguzo size za nondo beam pia usukaji wa slab pale juu idadi ya nondo eneo la ghofofa itakuwa Sgm 80 kwa maana 8mx10m