Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Daah umetisha sana mwanangu. Mpaka hapo imekula ngapi ukiondoa ngarama ya kiwanja? Upper floor ni rooms ngapiPole sana ndugu yangu. Mwenzako nimefikia hatua hii.
Daah umetisha sana mwanangu. Mpaka hapo imekula ngapi ukiondoa ngarama ya kiwanja? Upper floor ni rooms ngapiPole sana ndugu yangu. Mwenzako nimefikia hatua hii.
Kama 180mDaah umetisha sana mwanangu. Mpaka hapo imekula ngapi ukiondoa ngarama ya kiwanja? Upper floor ni rooms ngapi
Rooms ngapi upper floor?Kama 180m
Room 3, sebule 1 na chumba cha mazoezi.Rooms ngapi upper floor?
Floor area?Room 3, sebule 1 na chumba cha mazoezi.
SQM 178 per floorFloor area?
Mimi upper floor haizidi 50 kwa min-sitting, master bed room, dressing room na toilet. Nina imani hata 100m haitafika mpaka finishingSQM 178 per floor
Hongera Kiongozi. Mimi nimeifanya hivyo kwa ajili ya Wapangaji wa Kigeni (Foreigners).Mimi upper floor haizidi 50 kwa min-sitting, master bed room, dressing room na toilet. Nina imani hata 100m haitafika mpaka finishing