Ujenzi wa ghorofa 1 hatua kwa hatua na makisio ya vifaa

Achana na ujenzi njoo nikuuzie nyumba yangu kibada ni ya kisasa na ukubwa eneo 800SQM
 
Kwa Ushauri wangu.Jenga Tu nyumba ya kawaida Upate Uzoefu kisha ndo ujenge ghorofa.Unaweza ukanunua kiwanja kingine au ukaibomoa hiyoa ya kawaida ukajenge ghorofa ukiwa kamili.
 
Asante mkuu naomba namba yako kwa mawasiliano mkuu
 
Nondo huwa hazikadiliwi, zege huwa haikadiliwi, kila kitu ni hesabu. Tafuta Engineer akufanyie structural design uwe safe.
 
Kwa ujenzi wa ghorofa nakushauri ushirikishe wataalamu wazoefu ambao wanajua makadirio na vipimo vya vifaa vya ujenzi.

Ukijenga kwa ubahiri hasara utaikuta mbele kwasababu nafuu ni gharama iliyojificha.

Usipende kufanya vitu bila kujua matokeo yake katika uhalisia yatakuwaje.
 
Ni kweli, ukijenga ghorofa bila kushirikisha Wataalam utaishia pabaya hasa ghorofa kupata creaks na hata kuanguka kabisa. Wataalam wa ujenzi hasa kwenye usanifu (design) na ujenzi (construction) ni muhimu sana. Ingawa utaingia gharama kubwa kidogo kuliko Fundi Maiko.
 
Mkuu ili kupata makadirio ya bei ni lazima uwe na ramani ya jengo husika
Sisi ni SOPESYA COMPANY LTD tunauzoefu wa muda mrefu katika kuchora ramani na ujenzi wa nyumba za aina zote
karibu tukucholee ramani kwa bei nafuu ramani inakuja pamoja na makadirio ya bei ukiwa mahali popote tanzania
0621774403
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Hizo beams za nje kubwa hivyo mliweka za nini?
 
Nakushauri anza hivi
1. Michoro -zingatia na hakikisha imekamilika
2. Fatilia kibali cha ujenzi
3. Tafuta mtaalamu akupe makadilio halisi

USisahau kurasimisha eneo lako
Bila kusahau lazima alipie vibao,aandae kama mil 10 ya vibao vile vya engineers mana hapo lazima structure awe na stikq yake,plumbing, electrical, contractor mwenyewe, na hilo gorofq makisio boma bila finishing aandae kama mil 300.
 
Summary:
Kiwanja kiwe kimepimwa na Matumizi yake yawe bayana
Mtafute msanifu Majengo
Mtafute Structural Engineer
Mtafute QS
Omba vibali vya Ujenzi
Utahitaji Msimamizi Fundi mzoefu au Civil Technician
Endelea na kazi.
NB:Jirani yangu amejenga ghorofa na karibu anahamia amepita chocho,nilijitahidi kumshauri azingatie lisije angukia Fensi tunayoshare.
 
Bila kusahau lazima alipie vibao,aandae kama mil 10 ya vibao vile vya engineers mana hapo lazima structure awe na stikq yake,plumbing, electrical, contractor mwenyewe, na hilo gorofq makisio boma bila finishing aandae kama mil 300.
Hapo ndio nilipochoka mie, eti vibao wakasema niwape 10m wamalize kila kitu
 
Ni sahihi adhabu ni faini ambayo yaweza kuwa kubwa. Na utatakiwa kusimamisha ujenzi. Kitanzania watakula pesa zako na bado tatizo litabaki pale pale.
 
Kuna watu wenye kazi zao, kwanza wanaanza kuchimba shimo futi kadhaa kuchukuwa mchanga sample unakwenda kupimwa.

Ghorofa halijengwi tu kama kichanja.
Ghorofa moja ukapime udongo ili? Hizi zote mbwembwe za corse work tu. Cha msingi apate ramani ampe injinia amfanyie hesabu. Udongo wa maeneo ya Pwani karibia wote ni sawa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…