Ujenzi wa Hospitali Mabwepande: Tunaomba lami kipande cha barabara kutoka hospitali hadi Bunju B

Afadhali angechagua kusimama kwenye haki kuweka legacy ili hata asiporudi
Kupata ubunge lakini aweke alama ya haki sasa yeye ataacha picha mbaya ya kutetea wahalifu.

Hivi hicho kikundi cha wavamizi ni wapiga kura wangapi mpaka aonekane wa ajabu?!

Jimbo lenye wasomi wengi ni gumu asisazi wakati wa JPM ni wakati huu , kuna wengine hawataki dhuluma za wazi kiasi hicho
 
Pia, tukumbuke kuwa kuna pori la Msitu wa Pande ambalo ni muhimu kwa watalii wanaoingia Mkoa wa Dar es Salaam. Hivyo, uwepo wa barabara hii utaimalisha sekta ya utalii DSM
 
Hiyo barabara Kutoka Bunju B hadi Mbezi Mwisho kupitia Mabwepande fedha yake ilishatoka toka enzi za JPM ,ilikuwa inasubiriwa mwaka 2022 waanze ujenzi ,kumbe bado haijajengwa? Niliona clip ya Gwajima akitaja hizo barabara zitaanza kujengwa mwanzoni mwa 2022 kumbe alikuwa anapiga fix kama ile ya kuleta treni,kujenga kanisa la mita 400 na kupeleka wakazi wa jimbo la kawe birmingham.
 
Kama ni hivyo, mamlaka wanatakiwa kutoka na kudadavua kwanini ujenzi haujaanza?
 
Hiyo barabara Kutoka Bunju B hadi Mbezi Mwisho kupitia Mabwepande fedha yake ilishatoka toka enzi za JPM ,ilikuwa inasubiriwa mwaka 2022 waanze ujenzi ,kumbe bado haijajengwa? Niliona clip ya Gwajima akitaja hizo barabara zitaanza kujengwa mwanzoni mwa 2022 kumbe alikuwa anapiga fix kama ile ya kuleta treni,kujenga kanisa la mita 400 na kupeleka wakazi wa jimbo la kawe birmingham.

Tena basi barabara hiyo ni ya mzunguko ilikua iende mpaka Kigamboni 65 km ! Niliwahi ona sehemu ! But this Gwajima ni hovyo kabisa !
 
Ni kweli hata mimi niliona huo mchakato na kipindi kile ilikuwa washatoa 600m kwa ajili ya kumpa mkandarasi wa kufanya upembuzi yakinifu na usanifu wa kina.
 
Ujenzi wa barabara hii ni muhimu sana na kuruhusu mabasi ya mikoani kuitumia na kwenda kutokea Bunju ,

Itawezesha kukwepa foleni ya wazo hadi njiapanda ya wazo (tegeta kibaoni)

Pia foleni ya kutoka kibaoni hadi Bunju
 
Inahitajika enforcement ili utekelezaji wa mradi uanze mara moja.
 
Naunga mkono hoja. Barabara hii ni muhimu sana kwa sasa. Inabidi ijengwe kuanzia Bunju B hadi Mbezi mwisho.
 
Mkuu, kwa nini usingeomba lami kipande cha Mabwepande hospitali mpaka Goba?
 
Pia, Barabara hii inaunganisha jimbo la Kibamba na Kawe. Hivyo tunaomba wabunge husika washirikiane na kuhakikisha ujenzi unaanza.
 
Mh Gwajima tulikuona ukiongelea Liganga na Mchuchuma, ukumbuke pia kusemea suala la barabara
 
Mpaka barabara zote za Mbweni hadi vichochoro vyake vienee lami ndipo Mabwepande itafuata. Kwanza walisema huko Mabwepande asilimia kubwa wanakaa wavamizi na wahanga hivyo barabara kwao siyo priority kuliko maji. Nasikia Dawasa kupitia wachina wamewapelekea miradi wa maji tena kwa mkopo. Unaunganishiwa maji ulipie kidogokidogo
 
Ujenzi wa barabara hii ni muhimu sana na kuruhusu mabasi ya mikoani kuitumia na kwenda kutokea Bunju ,

Itawezesha kukwepa foleni ya wazo hadi njiapanda ya wazo (tegeta kibaoni)

Pia foleni ya kutoka kibaoni hadi Bunju
Wasafiri wa mbezi -boko watapandia wapi mabasi
 
Back
Top Bottom