Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Kama ni hivyo, mamlaka wanatakiwa kutoka na kudadavua kwanini ujenzi haujaanza?Hiyo barabara Kutoka Bunju B hadi Mbezi Mwisho kupitia Mabwepande fedha yake ilishatoka toka enzi za JPM ,ilikuwa inasubiriwa mwaka 2022 waanze ujenzi ,kumbe bado haijajengwa? Niliona clip ya Gwajima akitaja hizo barabara zitaanza kujengwa mwanzoni mwa 2022 kumbe alikuwa anapiga fix kama ile ya kuleta treni,kujenga kanisa la mita 400 na kupeleka wakazi wa jimbo la kawe birmingham.
Hiyo barabara Kutoka Bunju B hadi Mbezi Mwisho kupitia Mabwepande fedha yake ilishatoka toka enzi za JPM ,ilikuwa inasubiriwa mwaka 2022 waanze ujenzi ,kumbe bado haijajengwa? Niliona clip ya Gwajima akitaja hizo barabara zitaanza kujengwa mwanzoni mwa 2022 kumbe alikuwa anapiga fix kama ile ya kuleta treni,kujenga kanisa la mita 400 na kupeleka wakazi wa jimbo la kawe birmingham.
Kama ni hivyo, mamlaka wanatakiwa kutoka na kudadavua kwanini ujenzi haujaanza?
Tena basi barabara hiyo ni ya mzunguko ilikua iende mpaka Kigamboni 65 km ! Niliwahi ona sehemu ! But this Gwajima ni hovyo kabisa !
Wasafiri wa mbezi -boko watapandia wapi mabasiUjenzi wa barabara hii ni muhimu sana na kuruhusu mabasi ya mikoani kuitumia na kwenda kutokea Bunju ,
Itawezesha kukwepa foleni ya wazo hadi njiapanda ya wazo (tegeta kibaoni)
Pia foleni ya kutoka kibaoni hadi Bunju