Ujenzi wa Interlocking Blocks

Green Beret

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2022
Posts
631
Reaction score
991
Habari wakuu, poleni kwa majukumu.

Naomba ushauri wa kuhusu kujenga nyumba na matofali ya interlocking blocks.

Wazo la nyumba: nyumba ya room mbili isiyokuwa sebule jiko na public toilet

Naomba kupata kujua gharama ya hizi tofali na je ni kila fundi anaweza au kuna fundi maalumu?
 
Tofali ni Tsh.600
Huwa kuna mafundi wake.
Kwangu naona unachopunguza ni kiasi kidogo mno.
 
Kuna sehem nilifanya kazi, panamilikiwa na wamarekani. Walinunua mashine kenya wakaja wakafundisha mafundi kuzitengeneza wakaanza kufyatua. Na wamejenga majengo ya kutosha na hayana shida.
Lakini, kama unataka kuyatumia, cha kwanza na muhimu upate fundi WA UHAKIKA sio wale wa kila kitu wanaweza. Maana kosa dogo it means unashusha kila kitu. Pia pata hawa maengineer wanaojulia vzur maana zile zinaenda kwa vipimo kwenye kila kitu. Ukifanikiwa nyumba itapendeza.
 
Interlocking hizo hapo, unatakiwa kupata fundi wake tu

View attachment 2233708

Mkuu, naomba unisaidie hapa kama hutojali. Nimefungua thread kuomba msaada wa interlock blocks hakuna aliejitokeza kunisaidia, ndio tatizo la wabongo wengi wabinafsi.

Mkuu, ni hivi!


1-Naomba kujua tofali ndogo/peving/interlock, kwa mfuko mmoja wa cement inatoa peving pisi ngapi? Na ziwe imara sana.

2-tipa ndogo ina uwezo wa kutoa peving ngapi?

3-tipa kubwa ya tani 20 inatoa peving ngapi?

4-kwa magari makubwa ya tani 5 mpaka 20, resho ya kiasi gani yanafaa kwa maana gari likipita yasipasuke?

5-Peving za aina gani nzuri, squre, pembe 4, sambusa n.k?
 
Pole sana Ndugu Yangu, Sina utaalam ila naweza kumuita Engineer zumbemkuu atatusaidia akiwa online. Shukrani sana.

Tofali zangu nilipiga kwa ratio ya 1bag kwa 90 blocks za Interlock
 
Habar mm ni fundi wa peving block unaweza niuliza swali kuhusu utengenezaji au ukitaka mawasiliano ntakupa namba
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…