Kuna Kampuni mmoja ya Muingereza imejenga kambi kubwa huko Lamai Serengeti katika mawe ambayo ni mazalia ya simba. Katika hali ya kawada hili halikubaliki kabisa kihifadhi, Je kuna mchezxo mchafu umefanyika? watu wa fani za utalii mwageni data...nasikia makampuni mengi yameanza kujenga sasa hivi, hivi kweli simba hao watakaa kweli?