Pfizer
JF-Expert Member
- Mar 25, 2021
- 590
- 807
MRADI WA MABORESHO YA BANDARI YA MWANZA KUKAMILIKA APRIL
IMEELEZWA kuwa mpaka sasa ujenzi wa mradi wa maboresha bandari ya mwanza kaskazini umefikia asilimia 44 ambapo kukamilika kwake kutasaidia kuongeza idadi ya abiria waliokua wakisafiri kwa siku ni mia 6 kwa mwaka abiria milioni 1.64 na kuwa mara mbili yake jambo litakalosaidia kuleta tija kwenye usafirishaji wa abiria na mizigo.
Haya yameelezwa jijini mwanza na meneja wa bandari kanda ya ziwa Victoria Erasto Lugenge wakati akizungumzia mradi wa maboresho ya bandari ya mwanza kaskazini ambayo serikali imetoa kiasi cha shilingi bilioni 60 ambapo bandari hiyo ina kiasi cha shilingi bilioni 18 .6 bandari ya Kemondo ina shilingi bilioni 20.8 na ya bukoba ikiwa na shilingi bilioni 19 .
Erasto Lugenge Meneja wa bandari kanda ya ziwa Victoria.(mabadiliko haya yametokana na ujenzi wa meli kubwa ya mv Mwanza )
Akizungumza kwa Niaba ya Mkurungenzi mkuu wa mamlaka ya us2imamizi wa bandari TPA Plasduce Mkeli Mbossa afisa Uhusiano wa TPA Enock BWIGANE ameeleza kuwa kupitia Mv Mwanza hapa kazi tu meliitakua na uwezo wa kubeba tani za mizigo mia 4,ikilinganishwa na mwaka jana ambapo kwa mwaka jana pekee bandari za mwanza kaskazini na kusini ziliweza kuhudumia tani za shehena zaidi ya laki2 na 36 na matarajio ni kwamba meli ikikamilika na kufikia mwakani mwezi wa nne itasaidia kuongeza idadi ya abiria wanaohudumia katika bandari za ziwa Victoria lakini pia kuongeza kiwango cha shehena kinachohudumiwa.
Kipekee kabisa uwekezaji huo wa bilioni 60
Maeneo muhimu yanayotarajiwa kufanyiwa marekebisho ni pamoja na sehemu za maegesho ya meli, barabara na sakafu ngumu,jengo la abiria ,jengo la ukaguzi abiria pamoja na mizigo,uzio wa bandari,mifereji ya maji,ujenzi wa kingo za mto mlongwa ambao kwa ajili ya maji yanayopelekwa ziwa Victoria, kuhamisha miundombinu ya reli ,na uwekaji wa miundo mbinu ya umeme wa kisasa