Ujenzi wa msingi wa Mawe na msingi wa Tofali

Mapank

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
4,130
Reaction score
6,097
Wadau wa ujenzi napenda kujua kwanza kabisa gharama (affordability) na pili ubora (uimara) kati ya msingi wa mawe na tofali kama malighafi zote zinapatikana kwenye eneo la ujenzi.

1601474444493.png
1601474474265.png

Msingi upi ni nafuu na bora kuliko mwingine?
 
Wadau wa ujenzi napenda kujua kwanza kabisa gharama (affordability) na pili ubora (uimara) kati ya msingi wa mawe na tofali kama malighafi zote zinapatikana kwenye eneo la ujenzi.

View attachment 1585730View attachment 1585731

Mawe gharama yake iko juu ila ni strong ukilinganisha na matofali, so ni vizuri ukatumia mawe Kama upatikanaji wa mawe kwa eneo Hilo ni rahisi.
 
Wadau wa ujenzi napenda kujua kwanza kabisa gharama (affordability) na pili ubora (uimara) kati ya msingi wa mawe na tofali kama malighafi zote zinapatikana kwenye eneo la ujenzi.

View attachment 1585730View attachment 1585731
Msingi upi ni nafuu na bora kuliko mwingine?
Inategemea kiwanja chako kiko wapi; mimi viwanja vyangu vitatu viko kwenye sehemu ya mawe nilipiga misingi ya mawe tu tena kwa gharama ndogo sana kuliko matofari. Nilinunua kuni za elfu hamsini, jamaa wakachoma mawe na kuyapasua yote ya kutosha msingi mitatu kwa shilingi laki nne tu.
 
Nasubiri civil engineer au material engineer aeleze hili sio haya maneno ya kuotea
 
Sasa Dar es Salaam Hayo Maghorofa KiongoziYamesukwa Nondo, Zege . Huku Yanakopatikana Mawe Ukiweka Yenyewe Na Hata Udogo Mwekundu Mambo Safi
Mzee wewe ni engineer shida sio materials ni jinsi ya force distribution..
 
Zege ni jiwe analotengeneza mwanadamu kutokana na ugumu wa kuchoronga mawe mwanadamu akafikiria afanyaje ili apate jiwe la shape anayoitaka ndiyo akaja na ubunifu wa zege.

Kwani zege linalomwaga chini sio mawe?
Kuna tofauti kati ya jiwe na kokoto!

Swali ni je kama kweli msingi wa mawe ni imara kwann kwenye ujenzi wa gorofa wanatumia zege na sio mawe mazima mazima?
 
Wadau wa ujenzi napenda kujua kwanza kabisa gharama (affordability) na pili ubora (uimara) kati ya msingi wa mawe na tofali kama malighafi zote zinapatikana kwenye eneo la ujenzi.

View attachment 1585730View attachment 1585731
Msingi upi ni nafuu na bora kuliko mwingine?
Inategemea na sehemu,,, mfano kwa Dar ni gharama kubwa mno kutumia mawe lakini kwa mwanza ni rahisi Sana maana upatikanaji wa mawe ni rahisi,,kwa uimara jiwe ni jiwe kaka
 
Back
Top Bottom