Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mawe gharama yake iko juu ila ni strong ukilinganisha na matofali, so ni vizuri ukatumia mawe Kama upatikanaji wa mawe kwa eneo Hilo ni rahisi.Wadau wa ujenzi napenda kujua kwanza kabisa gharama (affordability) na pili ubora (uimara) kati ya msingi wa mawe na tofali kama malighafi zote zinapatikana kwenye eneo la ujenzi.
View attachment 1585730View attachment 1585731
Msingi upi ni nafuu na bora kuliko mwingine?
Mawe gharama yake iko juu ila ni strong ukilinganisha na matofali, so ni vizuri ukatumia mawe Kama upatikanaji wa mawe kwa eneo Hilo ni rahisi.
Kwanini gorofa likijengwa hawatumii msingi wa mawe ni bora kuliko cement?Tumia mawe, Mungu aliumba jiwe hakuumba tofali la cement.
Inategemea kiwanja chako kiko wapi; mimi viwanja vyangu vitatu viko kwenye sehemu ya mawe nilipiga misingi ya mawe tu tena kwa gharama ndogo sana kuliko matofari. Nilinunua kuni za elfu hamsini, jamaa wakachoma mawe na kuyapasua yote ya kutosha msingi mitatu kwa shilingi laki nne tu.Wadau wa ujenzi napenda kujua kwanza kabisa gharama (affordability) na pili ubora (uimara) kati ya msingi wa mawe na tofali kama malighafi zote zinapatikana kwenye eneo la ujenzi.
View attachment 1585730View attachment 1585731
Msingi upi ni nafuu na bora kuliko mwingine?
Kwani zege linalomwaga chini sio mawe?Kwanini gorofa likijengwa hawatumii msingi wa mawe ni bora kuliko cement?
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Mawe Ni Mazuri Sana Hasa, Yanadumu Muda Mrefu Sana
Kuliko Tofari Ambapo Zikichoka Changamoto
Sasa Dar es Salaam Hayo Maghorofa KiongoziYamesukwa Nondo, Zege . Huku Yanakopatikana Mawe Ukiweka Yenyewe Na Hata Udogo Mwekundu Mambo SafiDsm magorofa kibao na hawajengei mawe, hii hoja yako unaiteteaje?
Kwanini gorofa likijengwa hawatumii msingi wa mawe ni bora kuliko cement?
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Mzee wewe ni engineer shida sio materials ni jinsi ya force distribution..Sasa Dar es Salaam Hayo Maghorofa KiongoziYamesukwa Nondo, Zege . Huku Yanakopatikana Mawe Ukiweka Yenyewe Na Hata Udogo Mwekundu Mambo Safi
Zege ni jiwe analotengeneza mwanadamu kutokana na ugumu wa kuchoronga mawe mwanadamu akafikiria afanyaje ili apate jiwe la shape anayoitaka ndiyo akaja na ubunifu wa zege.
Kuna tofauti kati ya jiwe na kokoto!Kwani zege linalomwaga chini sio mawe?
Inategemea na sehemu,,, mfano kwa Dar ni gharama kubwa mno kutumia mawe lakini kwa mwanza ni rahisi Sana maana upatikanaji wa mawe ni rahisi,,kwa uimara jiwe ni jiwe kakaWadau wa ujenzi napenda kujua kwanza kabisa gharama (affordability) na pili ubora (uimara) kati ya msingi wa mawe na tofali kama malighafi zote zinapatikana kwenye eneo la ujenzi.
View attachment 1585730View attachment 1585731
Msingi upi ni nafuu na bora kuliko mwingine?
kawaida vitu vya asili siku zote ni imara kuliko vilivyo tengenezwa na mwanadam jibu unalo nduguWadau wa ujenzi napenda kujua kwanza kabisa gharama (affordability) na pili ubora (uimara) kati ya msingi wa mawe na tofali kama malighafi zote zinapatikana kwenye eneo la ujenzi.
View attachment 1585730View attachment 1585731
Msingi upi ni nafuu na bora kuliko mwingine?