Ujenzi wa Ngazi

Ujenzi wa Ngazi

aise

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2018
Posts
5,175
Reaction score
16,488
Karibu nikujengee ngazi nzuri
0624254690
VideoCapture_20250215-173050.jpg
VideoCapture_20250215-173158.jpg
 
Wadudu kama nyoka hawawezi kufanya makazi chini ya ngazi au unaweka nini kuzuia hilo
 
Wadudu kama nyoka hawawezi kufanya makazi chini ya ngazi au unaweka nini kuzuia hilo
Hapo kuna sentimita zizsizozidi 25, ni ngumu nyoka kukaa hapo.
ikiwekwa Tiles inazidi kupendeza.
Sasa mpaka nyoka wakae hapo huo unakuwa ni uchafu wa wahusika.

Kwa mtu mchafu hata chumbani anapolala utawakuta nyoka n.k
 
Boma la nyumba ya vyumba viwili mpaka kupaua gharama ikoje?
Ungefafanua mkuu ili nikupe makadirio yenye uhalisia na unachohitqji.
Mfano hivyo vyumba vina ukubwa gani, kama ramani unayo ya unachotaka kujenga au la.

Kuna mengi ya kuangalia
 
Ungefafanua mkuu ili nikupe makadirio yenye uhalisia na unachohitqji.
Mfano hivyo vyumba vina ukubwa gani, kama ramani unayo ya unachotaka kujenga au la.

Kuna mengi ya kuangalia
Wee bwana sii mjenzi vyumba viwili kimoja master public tolite kajiko kaushikaji sebule
 
Wee bwana sii mjenzi vyumba viwili kimoja master public tolite kajiko kaushikaji sebule
Mimi ni fundi na naelewa, unaona kama mwanzo umesema vyumba viwili, hapa umeongeza jiko, sebule n.k

Mwanzo vyumba viwili ningekwambia tofali 800,
Kumbe inahitajika sebule, jiko n.k

Kwahiyo ni vizuri kuelezea vizuri au ulete ramani kama unayo
 
Sasa vyumba viwili tena hamna sebule nanjiko sii masikhara hayo jamani
 
Back
Top Bottom