Ujenzi wa nyumba kwa bajeti ya milion 5

Ujenzi wa nyumba kwa bajeti ya milion 5

Eliud Bunju

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2017
Posts
356
Reaction score
666
Msaada kwa wataalamu na tips za michoro na ushauri kutoka kwenu wadau.nina m5 nmejchanga changa naitaj kujengo angalau vyumba 2 na sebule na jiko. Choo ndan cha public

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina kiwanja cha 20m kwa 20m, nataka kujenga 11m kwa 11m room Tatu sebule Choo na bafu za kawaida milioni kumi na tano, nitaweza kuanza kuishi kama haijakamilika?
Unaweza ukashindwa kuhamia ila itakuwa imesogea, probably utakuwa umepaua, hivyo ukiongezea kidogo 6-10 unaweza weka madirisha/ grill na lipu na rough ukahamia
 
11m, kwa 11m , 12m net imekatika, tayari kupaua na grill/madirisha juu,
nilisimamia mwenyewe tangu mwanzo
wala wasikutishe
ujenzi usimamizi
Nashukuru Sana kwa hiyo ushauri usimamizi makini unachangia mafanikio kwenye ujenzi nitafanyia kazi hilo
 
Unaweza ila muhimu uwe na muda wa kusimamia ujenzi na upate fundi mzuri.

Hivi ni vitu muhimu kujua bei yake kabla hujaanza.
_ Mchanga
_ Cement
_Mawe
_ Kokoto
_ Tofali

Msingi usizidi ml 3, hapa hakikisha umemwaga na jamvi
Boma liende 4 ml
Kuezeka mil 4
Shimo la choo laki 8
Grill 1.2
Mlango wa mbele na nyuma laki 5 na flem zake
Plaster nje ndani mil 1.3
Laki 2 dharula

Ujenzi unawezekana chief, muhimu ni kuwa na roho ngumu na kuziba masikio,maana wakatisha tamaa ni wengi.

All the best.
 
Back
Top Bottom