Ujenzi wa nyumba kwa bajeti ya milion 5

Ujenzi wa nyumba kwa bajeti ya milion 5

Feed back nimefanikiwa kujenga NYUMBA
- nmepandisha yote Boma
-nmepaua yote
-nimeweka gril yote

Nipo hatua ya kutaka kujenga Choo cha muda mfupi nadhani nitatumia pipa Kwanza

Pia nataka kupiga rafu floor vyumba viwili halafu nahamia hivohivo ujenzi utaendela nikiwa hapo hapo nitatumia umeme WA luku kampuni ya mysol(mobisol)
 
Ulitumia ndani ya bajeti yako ya 5m! Tupia na picha tuone!
 
Back
Top Bottom