Daaaaah kweli ayseeeee mwaka jana mwezi wa 10 nilapata uo mtiani ,,nilikuwa na kiasi kidogo cha fedha 3M malengo yangu nikaanze kununua tofali kwanza alafu mambo mengine yaendelee, mchumba wangu alinishauri niache kununua tofali ela yote niingize kwenye biashara , mwanzo nilimpinga nikaona ngoja nitafute ushauri zaidi na zaidi Kati ya watu 6 niliowaomba ushauri 5 wakasema niwekeze kwenye biashara niachane na tofali, mwezi wa 11 nikatafuta flemu nikanza biashara ya vyakula, ndani ya mwezi 1 biashara ikanipatia biashara nyingine ya UWAKALA ,, ADI APA NIANDIKAPO SMS HII ILE 3M NILIYOKUWA NATAKA NIKANUNUE TOFALI IMERUD NA MTAJI BADO NINAO