ahmed omar
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 270
- 215
Biashara ni Sawa na kuzika hela mtoni kwa sasaAwamu hii unaijua biashara vizuri ? Biashara ina wenyewe ndugu,uyo jamaa bora iyo 12m ajenge tu asijekujuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biashara ni Sawa na kuzika hela mtoni kwa sasaAwamu hii unaijua biashara vizuri ? Biashara ina wenyewe ndugu,uyo jamaa bora iyo 12m ajenge tu asijekujuta
Kabisa mtu anasema room 4 million Mia na ishirinimtu anajenga kanyumba ka m9 anakavalue m20 ndio wakatisha tamaa wastani wa chumba kimoja kukamilika ni m2.5 kwa hio inawezekana
Maji ipo ni kuweka mita tuVuta maji kwanza, muite fundi akupe bajeti ya mahitaji yote kuanzia msingi mpaka finishing, total bajeti itakayokuja kama imezidi muanze kushauriana wapi pa kupunguza na kivipi. Ni hela nyingi sana hiyo Ukitulia na kushinda site na kununua material mwenyewe unamaliza mpaka finishing
Hapa unamuingiza cha kike mkuu , 4m kuezeka? Mbao Tsh ngapi? bati Tsh Ngapi? Ufundi tsh ngapi? material misumali,kofia,usafiri??Kuezeka mil 4
Misumari, kofia na usafiri gharama sio kubwaHapa unamuingiza cha kike mkuu , 4m kuezeka? Mbao Tsh ngapi? bati Tsh Ngapi? Ufundi tsh ngapi? material misumali,kofia,usafiri??
Misumari, kofia na usafiri gharama sio kubwa
Kupanga ni kuchagua,inawezekana sana,bando la bati ya gage 30 ni 325000 ,tufanye atumie 4 1300000 ambazo ni nyingi sana,hope zitapunguaHapa unamuingiza cha kike mkuu , 4m kuezeka? Mbao Tsh ngapi? bati Tsh Ngapi? Ufundi tsh ngapi? material misumali,kofia,usafiri??
Nyumba hiyo haipungua bati 90.Kupanga ni kuchagua,inawezekana sana,bando la bati ya gage 30 ni 325000 ,tufanye atumie 4 1300000 ambazo ni nyingi sana,hope zitapungua
Mbao tuseme iende 1.5 mpaka blanda
Fundi na vilivyobaki wanagawana,it possible chief.
Labda kama anataka msauzi
Upo sahihi chief,haya ni makadilio nimefanya naweza nisiwe sahihi kwenye kila eneo,ila kwa pesa ya mleta mada,inatosha na kuezeka nyumba.Nyumba hiyo haipungua bati 90.
Inawezekana hapo hata ikifika tano sio mbayaNyumba hiyo haipungua bati 90.
kwani lazima apaue mitindo yenu ya mchomoko ananweza kufanya hidden roof na bati na mbao chache sana..Nyumba hiyo haipungua bati 90.
kwani lazima apaue mitindo yenu ya mchomoko ananweza kufanya hidden roof na bati na mbao chache sana..
sio kweli ulishawahi kufanya au unawaza...gharama ni ndogo sana...nondo chache ama wavu inatoshaWatu wanajidanganya sana kwa hidden roof ,gharama za kuaandaa ili iitwe hidden ni mara mbili ya kununua mbao na bati ingawa at the end utatumia mbao na bati chache.
sio kweli ulishawahi kufanya au unawaza...gharama ni ndogo sana...nondo chache ama wavu inatosha
we unabisha nini kwani haiwezi kuwa slop upande mmoja kuna namna nyingi ya kuifanya hio acha kukariri unaweza kuifanya slop ukande wa slo uka deign gate ukafunika kwa namna bora na bati ya kisasa msauthii sema niko mbali na hizo nyumba ningekupa picha..we ni muongo sana..eti dalai wa nyumba...hebu sema hio gate ya concreate hata uijenge vipi ya mita kumi itakula sh ngapi au mifuko mingapi... unaogopesha watu... mhali unapoamua maji ya tiriririke unajenga mfereji wa concret sema una gharama kiasi gani..Mkuu acha kuongopea watu ,waulize watu waliojenga ,mimi pia ni dalali wa ujenzi ,naona maboss tunaowajengea hidden roof wanavyopasuka mifuko hadi wanalala na viatu,waliongopewa hivyo hivyo kama ni gharama nafuu,usisikilize habari za mitandaoni,najua hauzijui uliza hata humu kwa mtu aliyejenga ndio atakwambia ,hata mimi zamani nilikuwa najua ni nafuu kama wewe ila baada ya kuwajengea maboss ndio nilijua mziki wake.
Mambo ya kuweka sijui nyavu mara nondo chache ndio hayo baada ya muda inakuwa MPESEMPESE KAMA CHUJIO.
Tusibishane wewe anzisha uzi kuulizia gharama za hidden roof na normal roof kisha tupate mrejesho.
we unabisha nini kwani haiwezi kuwa slop upande mmoja kuna namna nyingi ya kuifanya hio acha kukariri unaweza kuifanya slop ukande wa slo uka deign gate ukafunika kwa namna bora na bati ya kisasa msauthii sema niko mbali na hizo nyumba ningekupa picha..we ni muongo sana..eti dalai wa nyumba...hebu sema hio gate ya concreate hata uijenge vipi ya mita kumi itakula sh ngapi au mifuko mingapi... unaogopesha watu... mhali unapoamua maji ya tiriririke unajenga mfereji wa concret sema una gharama kiasi gani..
we vip uzi unasaidia nini?... ukweli unakutosha toa facts na data sio kelele...Acha tantalila ,nyinyi mafundi ndio mnawaingiza mkenge watu kwamba ni gharama nafuhu ,tusibashine anzisha uzi tuone nani muongo na nani mkweli.
we vip uzi unasaidia nini?... ukweli unakutosha toa facts na data sio kelele...