Eliud Bunju
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 356
- 666
Unaweza ukashindwa kuhamia ila itakuwa imesogea, probably utakuwa umepaua, hivyo ukiongezea kidogo 6-10 unaweza weka madirisha/ grill na lipu na rough ukahamiaNina kiwanja cha 20m kwa 20m, nataka kujenga 11m kwa 11m room Tatu sebule Choo na bafu za kawaida milioni kumi na tano, nitaweza kuanza kuishi kama haijakamilika?
Shukran sanaUnaweza ukashindwa kuhamia ila itakuwa imesogea, probably utakuwa umepaua, hivyo ukiongezea kidogo 6-10 unaweza weka madirisha/ grill na lipu na rough ukahamia
Tunaongea kuhusu ujenzi baba ali.Inategemea wapi lini na aina ya maisha uishiyo. Kwangu hata bila fedha utaishi.
Nashukuru wengine wanakatisha Tamaa watu sanaHela nyingi sana hio, Wengine wanaanza na M1 wakiendelea kudunduliza.
Nashukuru Sana kwa hiyo ushauri usimamizi makini unachangia mafanikio kwenye ujenzi nitafanyia kazi hilo11m, kwa 11m , 12m net imekatika, tayari kupaua na grill/madirisha juu,
nilisimamia mwenyewe tangu mwanzo
wala wasikutishe
ujenzi usimamizi
Nimejifunza muhimu ni usimamizi na fundi mzoefu wa hilo eneo nitamtafuta ndio kazi ianzeUnaweza ila muhimu uwe na muda wa kusimamia ujenzi na upate fundi mzuri.
Hivi ni vitu muhimu kujua bei yake kabla hujaanza..
We unajuaje izo pesa azijatoka kwene Biashara? Au wewe ndo akili yako inakuelekeza kila mtu ni mwajiriwaAkili zetu watanzania ni kujenga tu.. Tumejiwekea imani kuwa bila kujenga maisha hayaendi... Anzisha biashara, zalisha hayo mamilioni, utajenga tu
Awamu hii unaijua biashara vizuri ? Biashara ina wenyewe ndugu,uyo jamaa bora iyo 12m ajenge tu asijekujutaAkili zetu watanzania ni kujenga tu.. Tumejiwekea imani kuwa bila kujenga maisha hayaendi... Anzisha biashara, zalisha hayo mamilioni, utajenga tu