Radio Producer
JF-Expert Member
- Feb 4, 2011
- 726
- 320
Ndo wanaojenga mkuu au unamaanisha Mchwa wadudu?
Anaamanisha mchwa mududu nadhani. Mkuu wachina wanajenga nyumba za hayo materials kama sikosei.Ndo wanaojenga mkuu au unamaanisha Mchwa wadudu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana mafundi hutakosa ILA HIYO NYUMBA HAIFAI HAITADUMU kwa climate na mazingira ya hapa kwetu Tanzania, Haifai Tropic countries hali ya hewa, wadudu-Bacteria, mchwa n.kWakuu habari za Jumapili?
Samahani naomba mawazo ama ushauri ni wapi kwa Tanzania naweza kupata mtalaamu anayeweza kunijengea nyumba ya kawaida ndogo (vyumba 4) kwa kutumia materials kama zinavyoonekana kwenye picha.
Ama mawazo ya namna gani naweza kufanikisha wazo langu hili? Nitashukuru sana.
Asante.
View attachment 981269
Asante sana mkuuPole sana mafundi hutakosa ILA HIYO NYUMBA HAIFAI HAITADUMU kwa climate na mazingira ya hapa kwetu Tanzania, Haifai Tropic countries hali ya hewa, wadudu-Bacteria, mchwa n.k
PointME NADHANI UKIKUTANA NA WATAALAM WA UJENZI WANAWEZA KUKUPA IDEA NINI UFANYE KUFANIKISHA WAZO LAKO.
NAKUMBUKA NYUMBA KADHAA HAPO JIJINI DAR KULE MASAKI, KURASINI, PALE TAZARA MPAKA LEO NADHANI ZIPO, INATEGEMEA ZILIJENGWA VIPI.
Nimecheka sana na hii comment yako mkuu. Kuna msemo unasema hivi:- UKIPITA DASLAMU UKAUONA MJI UNAPENDEZA NA KUMEREMETA HAYO YALIKUWA NI MAWAZO YA WATU. Nakutakia jioni njema mkuu.Hahaha kwanini usijenge kama sisi tunavyojenga kwa kutumia tofali?! Siogopi unapotaka utofauti na sisi, ila naona unataka kujipa tabu bure. Mafundi wa ujenzi kwa mbao sijui utawapata wapi. Na my treat mbao za kujenga hivyo sijui wapi wanafanya hivyo hapa. Insulation pia Tanzania sijui kama zipo.
Mkuu furniture zetu tu mgogoro hiyo nyumba utamuua fundi bure.
Hahaha asante, mi sinaga mawazo ndio uzuri wangu.Nimecheka sana na hii comment yako mkuu. Kuna msemo unasema hivi:- UKIPITA DASLAMU UKAUONA MJI UNAPENDEZA NA KUMEREMETA HAYO YALIKUWA NI MAWAZO YA WATU. Nakutakia jioni njema mkuu.
Mkuu Kama unapenda utumie mbao ni vizuri, mbao ngumu hapo, msasa wa kutosha na wiring yake ni lazima iwe ya maana wewe tumia nishawahi lala nyumba za hivi sema zinafaha maeneo ya baridi na mvua kubwa, sababu kukiwa na joto ni balaaWakuu habari za Jumapili?
Samahani naomba mawazo ama ushauri ni wapi kwa Tanzania naweza kupata mtalaamu anayeweza kunijengea nyumba ya kawaida ndogo (vyumba 4) kwa kutumia materials kama zinavyoonekana kwenye picha.
Ama mawazo ya namna gani naweza kufanikisha wazo langu hili? Nitashukuru sana.
Asante.
View attachment 981269
ππππππNdo wanaojenga mkuu au unamaanisha Mchwa wadudu?
Nenda ofisi za Strabag pale Ubungo(kama hawajahama) waulize nani kawajengea zile ofisi zao za mbao. Ukiwa ndani huwezi kujua kama ni za mbao.Wakuu habari za Jumapili?
Samahani naomba mawazo ama ushauri ni wapi kwa Tanzania naweza kupata mtalaamu anayeweza kunijengea nyumba ya kawaida ndogo (vyumba 4) kwa kutumia materials kama zinavyoonekana kwenye picha.
Ama mawazo ya namna gani naweza kufanikisha wazo langu hili? Nitashukuru sana.
Asante.
View attachment 981269
Pole sana mafundi hutakosa ILA HIYO NYUMBA HAIFAI HAITADUMU kwa climate na mazingira ya hapa kwetu Tanzania, Haifai Tropic countries hali ya hewa, wadudu-Bacteria, mchwa n.k
Ila kwa kutumia material yetu hapa utajenga hata nzuri kuzidi hapo
Lakini Australi ni tropics kama sisi baadhi ya maeneo ila wanajenga nyumba za mbao tena softwood na hardwood, nadhani tatizo ni utalaamu na namna ya kutreat mbao kabla ya kujengea. Pia nasikia Afrika kusini nyumba za mbao zinajengwaAsante mk
Asante sana mkuu