Ujenzi wa nyumba kwa kutumia mbao Tanzania

Radio Producer

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2011
Posts
726
Reaction score
320
Wakuu habari za Jumapili?

Samahani naomba mawazo ama ushauri ni wapi kwa Tanzania naweza kupata mtalaamu anayeweza kunijengea nyumba ya kawaida ndogo (vyumba 4) kwa kutumia materials kama zinavyoonekana kwenye picha.

Ama mawazo ya namna gani naweza kufanikisha wazo langu hili? Nitashukuru sana.

Asante.
HTB19fEFXGSWBuNjSsrbq6y0mVXav.jpg_640x640xz.jpg
 
Wakuu habari za Jumapili?

Samahani naomba mawazo ama ushauri ni wapi kwa Tanzania naweza kupata mtalaamu anayeweza kunijengea nyumba ya kawaida ndogo (vyumba 4) kwa kutumia materials kama zinavyoonekana kwenye picha.

Ama mawazo ya namna gani naweza kufanikisha wazo langu hili? Nitashukuru sana.

Asante.
View attachment 981269
Pole sana mafundi hutakosa ILA HIYO NYUMBA HAIFAI HAITADUMU kwa climate na mazingira ya hapa kwetu Tanzania, Haifai Tropic countries hali ya hewa, wadudu-Bacteria, mchwa n.k

Ila kwa kutumia material yetu hapa utajenga hata nzuri kuzidi hapo
 
ME NADHANI UKIKUTANA NA WATAALAM WA UJENZI WANAWEZA KUKUPA IDEA NINI UFANYE KUFANIKISHA WAZO LAKO.

NAKUMBUKA NYUMBA KADHAA HAPO JIJINI DAR KULE MASAKI, KURASINI, PALE TAZARA MPAKA LEO NADHANI ZIPO, INATEGEMEA ZILIJENGWA VIPI.
 
Point
 
Hahaha kwanini usijenge kama sisi tunavyojenga kwa kutumia tofali?! Siogopi unapotaka utofauti na sisi, ila naona unataka kujipa tabu bure. Mafundi wa ujenzi kwa mbao sijui utawapata wapi. Na m treat mbao za kujenga hivyo sijui wapi wanafanya hivyo hapa. Insulation pia Tanzania sijui kama zipo.
Mkuu furniture zetu tu mgogoro hiyo nyumba utamuua fundi bure.
 
Hahaha kwanini usijenge kama sisi tunavyojenga kwa kutumia tofali?! Siogopi unapotaka utofauti na sisi, ila naona unataka kujipa tabu bure. Mafundi wa ujenzi kwa mbao sijui utawapata wapi. Na my treat mbao za kujenga hivyo sijui wapi wanafanya hivyo hapa. Insulation pia Tanzania sijui kama zipo.
Mkuu furniture zetu tu mgogoro hiyo nyumba utamuua fundi bure.
Nimecheka sana na hii comment yako mkuu. Kuna msemo unasema hivi:- UKIPITA DASLAMU UKAUONA MJI UNAPENDEZA NA KUMEREMETA HAYO YALIKUWA NI MAWAZO YA WATU. Nakutakia jioni njema mkuu.
 
Hahaha asante, mi sinaga mawazo ndio uzuri wangu.
 
Wakuu habari za Jumapili?

Samahani naomba mawazo ama ushauri ni wapi kwa Tanzania naweza kupata mtalaamu anayeweza kunijengea nyumba ya kawaida ndogo (vyumba 4) kwa kutumia materials kama zinavyoonekana kwenye picha.

Ama mawazo ya namna gani naweza kufanikisha wazo langu hili? Nitashukuru sana.

Asante.
View attachment 981269
Mkuu Kama unapenda utumie mbao ni vizuri, mbao ngumu hapo, msasa wa kutosha na wiring yake ni lazima iwe ya maana wewe tumia nishawahi lala nyumba za hivi sema zinafaha maeneo ya baridi na mvua kubwa, sababu kukiwa na joto ni balaa
 
Wakuu habari za Jumapili?

Samahani naomba mawazo ama ushauri ni wapi kwa Tanzania naweza kupata mtalaamu anayeweza kunijengea nyumba ya kawaida ndogo (vyumba 4) kwa kutumia materials kama zinavyoonekana kwenye picha.

Ama mawazo ya namna gani naweza kufanikisha wazo langu hili? Nitashukuru sana.

Asante.
View attachment 981269
Nenda ofisi za Strabag pale Ubungo(kama hawajahama) waulize nani kawajengea zile ofisi zao za mbao. Ukiwa ndani huwezi kujua kama ni za mbao.
 
Pole sana mafundi hutakosa ILA HIYO NYUMBA HAIFAI HAITADUMU kwa climate na mazingira ya hapa kwetu Tanzania, Haifai Tropic countries hali ya hewa, wadudu-Bacteria, mchwa n.k

Ila kwa kutumia material yetu hapa utajenga hata nzuri kuzidi hapo

Heee mnanishangaza kweli
Kwetu tumeishi kwenye nyumba ya mbao ya muda mrefu tu,
Ilikuja kubomolewa baadae kabisa

Wala haikuwahi kuliwa na mchwa
 
Back
Top Bottom