Raja Casablanca
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 706
- 368
Buyuni au Chanika mkuuUnataka kuhamia dar wapi? Mjini nje ya mji? Ujenzi wa Buguruni na Temeke haujapishana sana lakini ujenzi wa Gongolamboto na jeti umepishana kidogo na ujenzi wa Ilala na kigamboni bei zake zipo tofauti sana.
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Mjengo umekaa poa sana
Hongera sana kwa wazo mtambuka.Salaam wakuu,
Kama mnavyojua ndugu zangu ni lazima tuhame kwa wazazi wetu tukaanze maisha. Na kutokana na hayo hatuna budi kufikiria kuwa na makazi yetu.
Uhalisia huo umenifanya niijiulize maswali mengi sana hasa ni gharama kiasi gani zinahitajika kutekeleza ujenzi wa nyumba ya vyumba vitatu na sebule yenye specifications zifuatazo;
Chumba kimoja master bedroom, vyumba viwili self contained. Public toilet moja, jiko, store, dinning, library na sebule.
Kutokana na specifications hizi napenda kujua gharama zake za ujenzi hasa hapa Dar es Salaam ili nijue najichanga vipi.
Nategemea mrejesho wenu wakuu.
Asanteni
Mjengo umekaaa poa sanaaa
Yangu imefika 85 nimehamiaGharama kubwa ya nyuma itakuwa kwneye finishing ila ukiijenga basic milion 30 inakamilika. Aina ya Finishing ndio itakupeka hadi 60m
Aisee . . . Sio kitotoYangu imefika 85 nimehamia
We nenda kajenga badala ya kupoteza muda. Kila nyumba ina bei yake. Kila fundi ana bei yake. Kila eneo lina bei yake hata kama Dar ni moja. Kujenga ni uwezo wako wa kufikiri, kusimamia, na fedha bila kusahau kuchagua na kupanga vilivyo.Salaam wakuu,