Ujenzi wa nyumba yenye ghorofa tano

Ujenzi wa nyumba yenye ghorofa tano

Tingitane

Senior Member
Joined
Apr 18, 2012
Posts
116
Reaction score
132
Naomba mwenye uzoefu na mambo ya ujenzi, anisaidie gharama za kujenga msingi tu wa jengo la ghorofa tano plot size ni 20 * 20m.
 
Plot ya 20 kwa 20 unapanga kujenga ghorofa ya floor 5!!!!
 
Naomba mwenye uzoefu na mambo ya ujenzi, anisaidie gharama za kujenga msingi tu wa jengo la ghorofa tano plot size ni 20 * 20m
Bila mchoro wa Architect na Structural Engineer,hata usipojenga kabisa msingi unaweza kukamilisha hata ghorofa 13
 
kuna ghorofa ipo biafra sidhani kama inafika hata 15 kwa 15, lakini limekwenda juu ghoroea 14
Kweli pale kuna mnazi wa rangi nyekundu kila nikiona huwa ghofu inaniingia, hatari sana shughuli hizi waungwana
 
Bila mchoro wa Architect na Structural Engineer,hata usipojenga kabisa msingi unaweza kukamilisha hata ghorofa 13
sio lazima michoro ukijua requirements zake ni rhisi sana. Mkuu anahitaji high level estimates makisio ya awali au bugeti, haitaji exactly figure ila range figure.

Kupata hayo makisio unahitaji kulinganisha gharama za mradi wenye requirements kam hizo yan benchmarking uliokamilk hivi karibu.

Figure hii ataweza ku-improve akipata michoro ya mwanzo na clear picture ya nini client anakitaka kwa kufanya Cost Planning. Tunategemea kama benchmarking ilifanyik vizuri , Figure lazima ipungue hasa kwa kupunguza gharama zisizo na msingi yan Value Engineering

Akipata drawings n Specs ambazo zimekamilika yan detailed ataweza kupata figure iliyo karibu zaidi n makisio halisi yan Bills of Quantity (BoQ) atatumia Bottom up Estimate technique.

Wakati wa execution yan ujenzi ataweza kupata exactly costs au gharama halisi ambazo tunategemea kama Cost planning ilifanyk vizuri na kama Client hatakuja na Requirements mpya kubwa sana then Figure ya mwsho lazim iwe within the Budget.

Mkuu ukipata Project nyingne lakini hata hii nitafute nikup kitu cha Uhakika
 
Back
Top Bottom