Ujenzi wa nyumba za kuficha paa/contemporary/ hidden roof

Baada ya kuweka bati weka "side wall flashing' tafuta fundi anayejua ...anakunja tuu vipande vya kofia za bati...changamoto ya kuvuja inaisha kabisa.
 
Baada ya kuweka bati weka "side wall flashing' tafuta fundi anayejua ...anakunja tuu vipande vya kofia za bati...changamoto ya kuvuja inaisha kabisa.

Asante nimeona kama nyumba mbili zinavuja na nilizosikia ni nying kumbe wameishajua ttzo ni nn
 
Asante nimeona kama nyumba mbili zinavuja na nilizosikia ni nying kumbe wameishajua ttzo ni nn
Tatizo huwa ni pale ukuta na bati vinapoungana....ukitumia side wall flash unamaliza tatizo.
 
Unajua sababu ya kuvuja?
Ni suala zima la kupata fundi asiye na uzoefu wala maarifa ya kuezeka aina hizi za nyumba.
Vinginevyo ukipata fundi mzuri na ushaui bora hamna kuvuja.

Binafsi kwa mwenye uhitaji naweza kumpa fundi ambae anaweza kushauri na kupiga bati hizi.
 
Nasikia vpia zinahitaji marekebisho mara Kwa mara ni kweli?
 
Huu mfumo wa nyumba sijawahi upenda na naona ni hatar kwa siku za mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…