Ujenzi wa uwanja wa mpira Arusha uhamishiwe Mwanza

Mkuu Mbabaishaji umeongea kwa hisia sana, lakini Serikali imeshaamua kujenga Arusha.
Ni kweli kwamba jiji la Mwanza lina sifa zote ulizotaja lakini uamuzi umeshafanywa.
Subirini wakati mwingine
 
Tayari mapendekezo yameshapitishwa siku nyingi mkuu.
 
Mwanza ni jiji lililotengwa. Hata ungesema nini?
 
𝐌𝐭𝐨𝐚 𝐦𝐚𝐝𝐚 𝐦𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞𝐰𝐞 π¦π›πšπ›πšπ’π¬π‘πšπ£π’
 
Wivu itakuua ungali bado kijana wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…