Ujenzi wa Uwanja wa Simba SC wazidi Kunoga

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
Namnukuu Afisa Habari wa Simba SC, De La Boss, Haji Manara..
"Tumeanza ujenzi wa uwanja huu na tutawapeleka waandishi wakajionee mambo yanavyoendelea katika ujenzi"
Haji Manara pia alitanabaisha kua, mazungumzo kati ya uongozi na Mkandarasi yashakamilika.. Na ndo maana ujenzi ushaanza.

Nikiwa hapa Bunju, tetesi nilizozisikia nami nikaona si mbaya niwafikishie ni kua;
"Mkandarasi anayejenga uwanja si kwamba alisoma chuo kimoja na Makandarasi waliyojenga Emirates Stadium na Wembley Stadium bali pia alikua akiwakimbiza vibaya sana darasani"

Kipindi Simba SC mambo yakiendelea kunoga.. Ndala huko kwenu mambo yakoje? Ule ujenzi wa uwanja wenu umefikia wapi? Pia mmejiandaaje na hizi mvua za vuli?

Ikumbukwe; Kinachofanyika kwa sasa hapa Bunju ni ujenzi wa Uwanja.. Then baada ya hapo vitu kama;
1. Viwanja wa Mazoezi (Maana vitakua vingi)
2. Gym + Swimming Pool
3. Ofisi + Maduka yatakouza bidhaa za Simba SC
4. Hostel za wachezaji
5. Hoteli ya Nyota 5 n.k... Vitafuata.

Nikiripoti toka Bunju Complex... Ni Mimi sembo wa Simba TIIIIIIIIVIIIIIIIIIIIIIIIII (in George Malatu Voice).
 
Hizi Simba na Yanga ni team zilizoanzishwa miaka mingi sana na ni team kubwa,inakuaje hazikua na viwanja vyao mpaka leo?! tatizo ni nini?
 
Sasa si uweke hata picha 3 4 au ww ni ripota wa redio afu unajitambulisha wa simba tiiiviiii cjui
Mkuu ndo maana nikakuambia waandishi wa habari wa vyombo vyote, vya ndani na nje ya nchi wataletwa kujionea kitu gani kinaendelea. Ukiona kama unachelewa karibu Bunju.
Nilichokifanya hapa ni kukupa Exclusive News.. Na hii ndo raha ya kujiunga JF.

Cc Slim5 na ndugu zake nessonlegend, Jabesss @Kawombwe na mtama one
 
Hizi Simba na Yanga ni team zilizoanzishwa miaka mingi sana na ni team kubwa,inakuaje hazikua na viwanja vyao mpaka leo?! tatizo ni nini?
Nadhani ni kuwa na viongozi wenye short - term goals kama kumfunga mtani wake, kusajili wacheze wake muhimu na kuchukua ubingwa basi.
Sasa sisi Simba SC chini ya Bilionea Mo, akisaidiwa na kushauriana na viongozi makini kabisa waliopo kwa sasa mambo yashabadilika.
Tuna hizi short - term goals kama kumfunga Ndala nje ndani katika msimu huu wa 2018/19, kuchukua vikombe vyote vya ndani tutakavyoshiriki n.k
Kuhusu long - term goals ni kufanya vyema katika michuano ya Klabu bingwa Africa (ambayo sasa tumeigeuza kama TPL, maana kila mwaka tutashiriki), maujenzi ya Bunju Complex n.k
 

Habari bila picha / videoclip ni takataka tu
 
Isije ikawa Ni Mapichapicha ya UCHAGUZI..... Maana Simba na Yanga ni Pasua Kichwa. Toroka uje Azam fc!!!
 
Mkuu prosper O5 Try Again na wenzake wanatimiza majukumu yao. Kwa kazi kubwa waliyoifanya.. Hata bila ya hilo la uwanja, jamaa kabla Jogoo hajawika, washatangazwa washindi. Hivyo Mkuu usitishike, hii ni mipango iliuliyokuwepo Mezani.. Na sasa ni mda wa utekelezaji wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…