Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Mbabane Swallows imewapa kiburi sana. Watapigwa kama wamesimama.Kwa Uwanja huu wa Nkana simba akishinda kule ni muujiza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbabane Swallows imewapa kiburi sana. Watapigwa kama wamesimama.Kwa Uwanja huu wa Nkana simba akishinda kule ni muujiza
Mbabane Swallows imewapa kiburi sana. Watapigwa kama wamesimama.
Come back on Saturday afternoon.Nyinyi mnao shindia uchawi wa zahera je ndo msemeje
This is Simba brother
Vingozi makini
washabiki makini.
Wachezaji makini
Hatubabaishani
Ndio kusema hujui kuwa kina watu watauroga huo uwanja kupitia picha?hujawajua yanga wewe eh?Ingependeza kama.ungetupia hata picha
Maiti zinaibiwa Mortuary Muhimbili kumbe mnafukia uwanjani.Ndio kusema hujui kuwa kina watu watauroga huo uwanja kupitia picha?hujawajua yanga wewe eh?
"Mikia Fc"This is
Aiseee leo hii Papaa Zahera mchawi?Nyinyi mnao shindia uchawi wa zahera je ndo msemeje
This is Simba brother
Vingozi makini
washabiki makini.
Wachezaji makini
Hatubabaishani
Aiseee leo hii Papaa Zahera mchawi?
"Mikia Fc"
Hizi Simba na Yanga ni team zilizoanzishwa miaka mingi sana na ni team kubwa,inakuaje hazikua na viwanja vyao mpaka leo?! tatizo ni nini?