Ujenzi wa Uwanja wa Simba SC wazidi Kunoga

Ujenzi wa Uwanja wa Simba SC wazidi Kunoga

Mbabane Swallows imewapa kiburi sana. Watapigwa kama wamesimama.

Nyinyi mnao shindia uchawi wa zahera je ndo msemeje

This is Simba brother

Vingozi makini

washabiki makini.

Wachezaji makini

Hatubabaishani
 
Wanachotengeneza simba nadhani ni uwanja wa mazoezi na sio uwanja wa kuchezea mechi kuingiza watu 30,000.
 
Back
Top Bottom