sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
Namnukuu Afisa Habari wa Simba SC, De La Boss, Haji Manara..
"Tumeanza ujenzi wa uwanja huu na tutawapeleka waandishi wakajionee mambo yanavyoendelea katika ujenzi"
Haji Manara pia alitanabaisha kua, mazungumzo kati ya uongozi na Mkandarasi yashakamilika.. Na ndo maana ujenzi ushaanza.
Nikiwa hapa Bunju, tetesi nilizozisikia nami nikaona si mbaya niwafikishie ni kua;
"Mkandarasi anayejenga uwanja si kwamba alisoma chuo kimoja na Makandarasi waliyojenga Emirates Stadium na Wembley Stadium bali pia alikua akiwakimbiza vibaya sana darasani"
Kipindi Simba SC mambo yakiendelea kunoga.. Ndala huko kwenu mambo yakoje? Ule ujenzi wa uwanja wenu umefikia wapi? Pia mmejiandaaje na hizi mvua za vuli?
Ikumbukwe; Kinachofanyika kwa sasa hapa Bunju ni ujenzi wa Uwanja.. Then baada ya hapo vitu kama;
1. Viwanja wa Mazoezi (Maana vitakua vingi)
2. Gym + Swimming Pool
3. Ofisi + Maduka yatakouza bidhaa za Simba SC
4. Hostel za wachezaji
5. Hoteli ya Nyota 5 n.k... Vitafuata.
Nikiripoti toka Bunju Complex... Ni Mimi sembo wa Simba TIIIIIIIIVIIIIIIIIIIIIIIIII (in George Malatu Voice).