Ujenzi wa Uwanja wa Simba SC wazidi Kunoga

Mkuu umeandika vizuri,lakini mwishoni umeboronga kuwakejeri Njaa fc,bila hao Simba itacheza na nani?
 
This is simba bana [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Mkuu umeandika vizuri,lakini mwishoni umeboronga kuwakejeri Njaa fc,bila hao Simba itacheza na nani?
Haha.. Lakini kwa sasa Mshindani wetu ni Azam FC, Njaa FC kabaki kua mtani 'dhaifu'.
 
Mkuu umeandika vizuri,lakini mwishoni umeboronga kuwakejeri Njaa fc,bila hao Simba itacheza na nani?
Tutake radhi Mkuu, Yanga sio hadhi yetu tena, sisi unacheza na vilabu vikubwa Africa na Ulaya, na sasa tunatafuta Club kubwa Ulaya ndo iwe mtani wetu wa jadi. Yanga wao size yao Keko Furnature, Kauzu Fc and the like....
 
🙂🙂🙂
 
Namnukuu Afisa Habari wa Simba SC, De La Boss, Haji Manara..
"Tumeanza ujenzi wa uwanja huu na tutawapeleka waandishi wakajionee mambo yanavyoendelea katika ujenzi"
Haji Manara pia alitanabaisha kua, mazungumzo kati ya uongozi na Mkandarasi yashakamilika.. Na ndo maana ujenzi ushaanza.

Nikiwa hapa Bunju, tetesi nilizozisikia nami nikaona si mbaya niwafikishie ni kua;
"Mkandarasi anayejenga uwanja si kwamba alisoma chuo kimoja na Makandarasi waliyojenga Emirates Stadium na Wembley Stadium bali pia alikua akiwakimbiza vibaya sana darasani"

Kipindi Simba SC mambo yakiendelea kunoga.. Ndala huko kwenu mambo yakoje? Ule ujenzi wa uwanja wenu umefikia wapi? Pia mmejiandaaje na hizi mvua za vuli?

Ikumbukwe; Kinachofanyika kwa sasa hapa Bunju ni ujenzi wa Uwanja.. Then baada ya hapo vitu kama;
1. Viwanja wa Mazoezi (Maana vitakua vingi)
2. Gym + Swimming Pool
3. Ofisi + Maduka yatakouza bidhaa za Simba SC
4. Hostel za wachezaji
5. Hoteli ya Nyota 5 n.k... Vitafuata.

Nikiripoti toka Bunju Complex... Ni Mimi sembo wa Simba TIIIIIIIIVIIIIIIIIIIIIIIIII (in George Malatu Voice).
Msisahau kuwa vitu vyote hivyo ni mali ya Mo kwa 51%.
Wenzangu mimi mkanunue hisa. Bei ya hisa moja ni laki nne.
 
Hahaha.. Asante Mkuu kwa kutukumbusha.
 
Bunju maduka atanunua nani..maana kule wanaishi wamakonde wanalinda nyumba za mabosi wao
Mkuu Bunju tunaibadilisha hutaamini. Imagine;
1. Kila Simba SC atakapokua anacheza watu zaidi ya 30,000 watakua uwanjani
2. Kila Mnyama atakapokua akifanya mazoezi watu zaidi ya 3,000 watakua wakienda kuangalia hayo mazoezi
3. Pia kutakua na Jumba la Makumbusho la Simba SC, ambapo tunategemea si chini ya watu 100 watakua wanaenda kila siku kujifunza na kufahamu zaidi historia ya timu yao
4. Pia kumbuka kutakua na sehemu za kupumzika, ambapo watu watatoka mjini kuja Bunju kujiliwaza
5. Pia tunategemea kila siku si chini ya mashabiki wa Ndala, 60 watakua wanakuja kuosha macho katika 'kijiji' cha Simba SC

Sasa Mkuu kwa fursa hizi hapo juu.. Kwann wamiliki wa Maduka wasiwe wanaleta mzigo mpya kila baada ya siku 3?
 
Namnukuu Afisa Habari wa Simba SC, De La Boss, Haji Manara..
"Tumeanza ujenzi wa uwanja huu na tutawapeleka waandishi wakajionee mambo yanavyoendelea katika ujenzi"
Haji Manara pia alitanabaisha kua, mazungumzo kati ya uongozi na Mkandarasi yashakamilika.. Na ndo maana ujenzi ushaanza.

Nikiwa hapa Bunju, tetesi nilizozisikia nami nikaona si mbaya niwafikishie ni kua;
"Mkandarasi anayejenga uwanja si kwamba alisoma chuo kimoja na Makandarasi waliyojenga Emirates Stadium na Wembley Stadium bali pia alikua akiwakimbiza vibaya sana darasani"

Kipindi Simba SC mambo yakiendelea kunoga.. Ndala huko kwenu mambo yakoje? Ule ujenzi wa uwanja wenu umefikia wapi? Pia mmejiandaaje na hizi mvua za vuli?

Ikumbukwe; Kinachofanyika kwa sasa hapa Bunju ni ujenzi wa Uwanja.. Then baada ya hapo vitu kama;
1. Viwanja wa Mazoezi (Maana vitakua vingi)
2. Gym + Swimming Pool
3. Ofisi + Maduka yatakouza bidhaa za Simba SC
4. Hostel za wachezaji
5. Hoteli ya Nyota 5 n.k... Vitafuata.

Nikiripoti toka Bunju Complex... Ni Mimi sembo wa Simba TIIIIIIIIVIIIIIIIIIIIIIIIII (in George Malatu Voice).
Picha tafadhali.
Kwa huu Uwanja wa Nkana FC naouona vijana wa Zambia wanacheza hamtatoka, na mtasingizia Uwanja mbovu.
 
Mkuu Bunju tunaibadilisha hutaamini. Imagine;
1. Kila Simba SC atakapokua anacheza watu zaidi ya 30,000 watakua uwanjani
2. Kila Mnyama atakapokua akifanya mazoezi watu zaidi ya 3,000 watakua wakienda kuangalia hayo mazoezi
3. Pia kutakua na Jumba la Makumbusho la Simba SC, ambapo tunategemea si chini ya watu 100 watakua wanaenda kila siku kujifunza na kufahamu zaidi historia ya timu yao
4. Pia kumbuka kutakua na sehemu za kupumzika, ambapo watu watatoka mjini kuja Bunju kujiliwaza
5. Pia tunategemea kila siku si chini ya mashabiki wa Ndala, 60 watakua wanakuja kuosha macho katika 'kijiji' cha Simba SC

Sasa Mkuu kwa fursa hizi hapo juu.. Kwann wamiliki wa Maduka wasiwe wanaleta mzigo mpya kila baada ya siku 3?
hongereni kama mtafanikisha
 
Back
Top Bottom