Ujenzi wa Uwanja wa Timu ya Young Africans Kuanza Mwezi Ujao.

Ujenzi wa Uwanja wa Timu ya Young Africans Kuanza Mwezi Ujao.

Attachments

  • 20240303_010520.jpg
    20240303_010520.jpg
    151.1 KB · Views: 3
Greda lipo site linasafisha halafu mnasema ujenzi utaanza mwezi ujao, kwani hilo greda linapofanya kazi si ndiyo ujezi umeanza? Ngoja niwe na akiba ya maneno maana Hersi anaweza kuangusha wanja ka la Santiago Bernabéu tutakosa pa kujificha
Usisahau ulileta uzi humu kua Yanga hawezi kujenga uwanja
 
Habari hii itaonekana uzushi kwa Kolozidad. Napenda iwe hivyo. Siku wakiamka ma kuanza kuhaha, uwanja wa Wananchi utakuwa una host mechi
 
Greda lipo site linasafisha halafu mnasema ujenzi utaanza mwezi ujao, kwani hilo greda linapofanya kazi si ndiyo ujezi umeanza? Ngoja niwe na akiba ya maneno maana Hersi anaweza kuangusha wanja ka la Santiago Bernabéu tutakosa pa kujificha
Ni greda au wheel loader?
 
Kiongozi wa mfano, Hersi akimaliza muda wake Yanga tumpe nchi kabisa!
Hapo hana pesa na mifumo imara ya kuingiza pesa na anaendesha timu vyema kabisa, huyu akipewa TTF ndani ya muhula mmoja atajenga viwanja vingi na kuzalisha academy nyingi tu, sababu atakuwa na access ya pesa huko... Ana dhamira njema kabisa katika sekta ya mpira wa miguu hapa nchini
 
Back
Top Bottom