Kwasababu anataka kajenga uwanja na kamnunua pacome na Guwede?Kiongozi wa mfano, Hersi akimaliza muda wake Yanga tumpe nchi kabisa!
Sababu aliwapiga kono la nyani.Kwasababu anataka kajenga uwanja na kamnunua pacome na Guwede?
AzamKiongozi wa mfano, Hersi akimaliza muda wake Yanga tumpe nchi kabisa!
AahaaaaTriple C, mwamba wa lusaka
Wazeni kumpa dimbwi au bwawa.Sababu aliwapiga kono la nyani.
Usisahau ulileta uzi humu kua Yanga hawezi kujenga uwanjaGreda lipo site linasafisha halafu mnasema ujenzi utaanza mwezi ujao, kwani hilo greda linapofanya kazi si ndiyo ujezi umeanza? Ngoja niwe na akiba ya maneno maana Hersi anaweza kuangusha wanja ka la Santiago Bernabéu tutakosa pa kujificha
Madam awe katibu mkuu UNKiongozi wa mfano, Hersi akimaliza muda wake Yanga tumpe nchi kabisa!
Ni greda au wheel loader?Greda lipo site linasafisha halafu mnasema ujenzi utaanza mwezi ujao, kwani hilo greda linapofanya kazi si ndiyo ujezi umeanza? Ngoja niwe na akiba ya maneno maana Hersi anaweza kuangusha wanja ka la Santiago Bernabéu tutakosa pa kujificha
Hivi kati ya CEO na Rais nani ana cheo kikubwa?Kama Mwamedi alivyompa uCEO kimada wake
Hapo hana pesa na mifumo imara ya kuingiza pesa na anaendesha timu vyema kabisa, huyu akipewa TTF ndani ya muhula mmoja atajenga viwanja vingi na kuzalisha academy nyingi tu, sababu atakuwa na access ya pesa huko... Ana dhamira njema kabisa katika sekta ya mpira wa miguu hapa nchiniKiongozi wa mfano, Hersi akimaliza muda wake Yanga tumpe nchi kabisa!
😂Triple C, mwamba wa lusaka
GredaNi greda au wheel loader?