Ujenzi wa Uwanja wa Timu ya Young Africans Kuanza Mwezi Ujao.

Greda lipo site linasafisha halafu mnasema ujenzi utaanza mwezi ujao, kwani hilo greda linapofanya kazi si ndiyo ujezi umeanza? Ngoja niwe na akiba ya maneno maana Hersi anaweza kuangusha wanja ka la Santiago Bernabéu tutakosa pa kujificha
Weka picha ya saiti
 
Haya ndio maendeleo ya soka la TZ tunayotaka kuyasikia, kwa timu yenye umri wa miaka 89 inapaswa kuwa na hiyo miundombinu.
 
Tuendee kupotoshana kwenye hili lakin kizazi kitakacho kuja kujenga uwajja wa vilabu hivi viwili simba na yanga bado hakijazaliwa.
 
Hata mwaka jana tuliambia hivi, cha kushangaza huu mwezi ujao huwa haufiki ni umbali gani kutoka leo kufikia huo mwezi ujao??..kwann wasituambie kwa ufasaha ili tuweke kumbukumbu vizuri... Kwa mfano waseme tu yanga kuanza kujenga uwanja wao mpya tarehe fulani mwezi fulani mwaka filani ili siku hiyo ikifika tukumbushane....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…