Ujerumani atatwaa Ubingwa wa Kombe la Dunia 2018



Hawa dawa yao hii


Dawa ya Ujerumani ni hii
Llouris
Kurzawa Umtiti Koscienly Jallet

Coman Tolliso Matuidi Mbappe

griezmann giroud

Kwa leo!!!!!!!!!!
 
Ujerumani ana nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa. Ila mpira hautabiriki.
 
Unge angalia documentary jana cnn inayo usu wa agentina na messi kuhusu kombe la dunia ungeelewa nini namaanisha..muda utaongea zaid

Documentary ndio nini braza...? Zingatia uhalisia. Kama kuwa na Documentary yenye kusisimua basi Taifa Stars nao wangekuwa wanajiandaa kwenda Urusi 2018.
 
Bra/Arg si wakubezwa nao.

Timu ambazo zinategemea nyota wao kama Vile Argentina, Ureno na Brazil uwezi kusipa nafasi kabisa, Last season tulishuhudia brazil ya Neymar ilivyofanywa na Mjerumani aliyekuwa amesheheni vipaji kila kona ya kikosi chake.

Sikujua kama kuna Binadamu anaye ipa nafasi England kutwaa Ubingwa, Asante kwa kunifungua macho yangu. πŸ˜€
 
My mkuu ujeruman hachukui ubingwa msinu huu kuna timu zipo vizuri mfano France, UK, hapa kwa england endapo wakijipanga vizuri kikosi chao kimesheheni lundo LA vijana Hawa ndio mabingwa Wa dunia Wa U17,U20
England hawezi kuchukua hilo kombe..hao vijana hawana ubabe huo
 
Kiongozi naomba tuhifadhi maneno mimi natabir agentina..belgium..france..nigeria kati ya izo kuna mmoja apo atamuagisha uyo mtu wako
Hakuna timu ya kuizuia ujerumani mkuu, tatizo la ujerumani kwenye hizi WCQ lilikua ni striker lakini saizi kuna damu changa zinakuja kwa kasi sana, hadi kufika mwakani watakua wamesha zoea mikiki mikiki, upande wa golikipa, beki na mido hakuna shida yyte.
 
Mmeanza tena lamli zenu,
ilikuwa uchaguzi wa urahisi TZ mkashangazwa no membe or lowassa
ilikuwa euro mkashangazwa,ureno ikachukua
uchaguzi US,trump akachukua,
haya twendeni russia ila msikimbie tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…