Ujerumani atatwaa Ubingwa wa Kombe la Dunia 2018

Ujerumani atatwaa Ubingwa wa Kombe la Dunia 2018

Binafsi sioni kama Germany ni kama mnavompa sifa, upande wangu naanza kuitazama Brazil kisha napata matumaini makubwa, tazama mwende walionao, wanavotengeneza nafasi na pia tazama vipaji vichanga walivonavyo, muda utaongea tu lakini ule moto sio wa kitoto.
 
Hivi unajua kuwa Nigeria iliifunga Argentina world cup 2014
Ikaja kuharibiwa mipango na ufaransa baada ya kuvunjwa mguu kiungo muhimu kabisa OGENYI ONAZI na matuid ndipo ufaransa ikashinda?

Nigeria iliifunga Argentina w.cup 2014 ? Ni w.cup ipi hiyo mkuu ? [emoji15].

Sisi huwa tuko serious mechi za kirafiki tu wakati wenzetu mechi hizo hawakomai wanazitumia kujifunza.
3f951e1c68df6f395b13d0682b667343.jpg
 
Ha ha ha harudi huyo,, maana hata mimi nimeshangaa 😀

Kwanini mtu usiongee ukweli, while watu wanazijua records vizuri tu.
 
Binafsi sioni kama Germany ni kama mnavompa sifa, upande wangu naanza kuitazama Brazil kisha napata matumaini makubwa, tazama mwende walionao, wanavotengeneza nafasi na pia tazama vipaji vichanga walivonavyo, muda utaongea tu lakini ule moto sio wa kitoto.

Ndoto za mchana hizo,,
 
Kombe la Dunia - Russia 2018, linatarajia kuanza nchini humo wiki ijayo. Kuna baadhi ya Timu maarufu kwa soka zinapewa nafasi kubwa ya kushinda Kombe hilo kwa mwaka huu. Timu hizo ni: Brazil, Hispania, Ujerumani na Ufaransa.
Hata hivyo, Mimi naweka kamari yangu kwa Ujerumani kutetea Kombe hilo licha ya kwamba, tangu Italia ya Giuseppe Meazza ifanye maajabu hayo mwaka 1934 & 1938, ikifuatiwa na Brazil ya akina Garincha na Pele, mwaka 1958 & 1962, yameshachezwa mashindano 13, sawa na miaka 56 bila Timu yoyote kutetea tena Kombe hilo, licha ya Argentina ya Diego Maradona kulikosa kosa mwaka 1990 kwa Ujerumani ambao iliwafunga mwaka 1986.
Unadhani nani ana nafasi ya kuchukua Kombe?
 
Back
Top Bottom