adammahanje
Member
- Aug 15, 2017
- 21
- 3
Wanarudi saizi kama unawachekiHispain siku hizi limebaki jina tuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanarudi saizi kama unawachekiHispain siku hizi limebaki jina tuu.
Hivi unajua kuwa Nigeria iliifunga Argentina world cup 2014
Ikaja kuharibiwa mipango na ufaransa baada ya kuvunjwa mguu kiungo muhimu kabisa OGENYI ONAZI na matuid ndipo ufaransa ikashinda?
Nigeria iliifunga Argentina w.cup 2014 ? Ni w.cup ipi hiyo mkuu ? [emoji15].
Sisi huwa tuko serious mechi za kirafiki tu wakati wenzetu mechi hizo hawakomai wanazitumia kujifunza.![]()
Binafsi sioni kama Germany ni kama mnavompa sifa, upande wangu naanza kuitazama Brazil kisha napata matumaini makubwa, tazama mwende walionao, wanavotengeneza nafasi na pia tazama vipaji vichanga walivonavyo, muda utaongea tu lakini ule moto sio wa kitoto.
Team Iniesta hapa.Wanarudi saizi kama unawacheki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mchochezi watakuitaTimu yoyote isiyokuwa na mchezaji wa man UTD itabeba hii ndoo Kama kawaida!