Ujerumani inajiandaa na WWIII? Taarifa zilizovuja zaonesha kuwa inaandaa wanajeshi 800,000 kwa ajili ya kupambana na Urusi

Ujerumani inajiandaa na WWIII? Taarifa zilizovuja zaonesha kuwa inaandaa wanajeshi 800,000 kwa ajili ya kupambana na Urusi

Kabla ya kumlaumu Putin zilaumu nchi za magharibi kwa kuvunja mkataba wao waliojiwekea na Urusi kuhusu kujitanua kuelekea kwa mwenzake. Putin ana haki ya kujilinda pia
Basi na wavamie Sweden na Finland ambazo nazo zimejiunga na NATO baada ya Urusi kuivamia Ukraine na zote zina share border na Russia. NATO imezidi kujitanua baada ya uvamizi wao.
 
Wajerumani nao kwa gubu au bado wana kisasi tangu walivyopelekewa moto mwaka 45 na Mrusi , shida ya mrusi utampiga weee ukishaamini kachoka kabisa huyu ndio anaamka na kuanza kukubarthazar ukasimulie mbele huko
Ujerumani ilichangiwa, Ukraine ya Leo Ndio sawa na USSR kipindi hicho...

Yaani kama Ujerumani asingepigana Mashariki na Magharibi Leo kusingekuwa na Russia, Moscow ingekuwa inaitwa kwa Jina la kijerumani
 
Hizo ni propanda za mitandaoni zisizo za kweli!
Hata majeshi ya NATO kiasi gani yakusanyike Ukraine hayawezi kuzuia makombora ya Nuklea wala hawana mitambo ya kuzuia.
 
Wakuu,

Mbona kama tunaelekea kwenye WWIII? Whats going on?

Siku ya Jumatano gazeti la New York Post limevujisha taarifa kuwa Ujerumani inajiandaa kupeleka askari wapatao 800,000 nchini Ukraine baada ya vitisho vya nyuklia kutoka Urusi kuongezeka.

Mpango huo umeitwa "Operesheni Deutschland" na una kurasa 1,000 na unalenga kuandaa Ujerumani kwa ajili ya vita vya Tatu vya Dunia

===============================================
Secret documents revealed Wednesday that Berlin has begun making plans for how it could help deploy as many as 800,000 NATO troops — including Americans — into Ukraine as Russia’s nuclear saber-rattling reaches new heights.

“Operation Deutschland” is a 1,000-page plan to prepare Germany for the possibility of a World War III scenario.

The top-secret papers reportedly detail specific buildings and infrastructure to protect so they can be utilized by the military, and how businesses and civilians should prepare in case of increased threats, according to the German newspaper Frankfurter Allgemeine Zeitung.

They also suggested Berlin was preparing a way to push 200,000 military vehicles across German territory should the alliance be required to join Ukraine’s efforts, though further details were kept classified.

Germany has also advised citizens on ways to prepare for the worst by boosting their self-sufficiency through mechanisms including installing diesel generators or even wind turbines, according to the report.

Putin ‘playing with our fear’

The alarm is not contained to Germany. Sweden and Norway have also recently issued pamphlets and literature instructing citizens on how to prepare should the Ukraine conflict boil over into their countries.

The rising concern comes as Russian President Vladimir Putin formally changed the Kremlin’s nuclear strike policy on Tuesday, announcing that Moscow may now use nuclear weapons to respond to non-nuclear, “conventional weapons” strikes.

My take
Ni wazi kuwa tuko on the Brink of WWIII na wa kuwalaumiwa ni Biden na serikali yake!

Source: NY Post
New York Post ni gazeti la udaku
 
Yohana 8:40
Lakini sasa mnatafuta kuniua mimi, mtu ambaye nimewaambia iliyo kweli, niliyoisikia kwa Mungu.
Ufunuo 22:
(Revelation)

UFUNUO (22:16.) Mimi Yesu nimemtuma malaika wangu kuwashuhudia ninyi mambo hayo katika makanisa. Mimi ndimi niliye Shina na Mzao wa Daudi, ile nyota yenye kung'aa ya asubuhi.
 
Yohana (8:23). Akawaambia, Ninyi ni wa chini, mimi ni wa juu; ninyi ni wa ulimwengu huu, mimi si wa ulimwengu huu.
(24). Kwa hiyo naliwaambieni ya kwamba mtakufa katika dhambi zenu; kwa sababu msiposadiki ya kuwa mimi ndiye, mtakufa katika dhambi zenu.
 
Isaya 9:6

Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto wa kiume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa Ajabu, ...

Nilijua utatoa andiko linasema Yesu ni Mungu, sasa kama mtoto amezaliwa tena mtoto wa kiume,
Unakusudia kusema mungu ana jinsia? lakini mtoto amezaliwa wamaanisha kabla mtoto kuzaliwa hakukua na mungu? mama yake mtoto yeye atakuwa nani aliyemzaa yeye na kumlea huyo mtoto

mtoto wa kiume siku tunajua kwamba huyo atakuwa ni mtu na sio mungu, lete andiko yesu ni mungu

(Aliyesema kwa ajili yetu mtoto amezaliwa.. haya maneno alisema mwenyewe mtoto baada ya kuzaliwa ama alisema nani?
😂😂😂 Mbona hujamalizia?
Isaya 9 : 6

Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani.

Huo ni unabii wa Isaya about 500 years kabla ya Yesu kuzaliwa...
Then unabii ukaja kukamilika miaka 2000 iliyopita...
Pia soma hii hapa chini
Yohana 8:56....
56 Ibrahimu, baba yenu, alishangilia kwa vile atakavyoiona siku yangu; naye akaiona, akafurahi.
57 Basi Wayahudi wakamwambia, Wewe hujapata bado miaka hamsini, nawe umemwona Ibrahimu?
58 Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako, mimi niko.
59 Basi wakaokota mawe ili wamtupie; lakini Yesu akajificha, akatoka hekaluni.
Unajua ni kwanini Wayahudi wakitaka kumpgia Yesu kwa mawe?
Wayahudi wanamjua IAM THAT I AM ni nani lakini kibanzi kilikuwa bado kipo machoni Pao ili kutambua they were talking with The Invincible God...
Word became flesh and came to stay with us...
 
Isaya 9:6

Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto wa kiume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa Ajabu, ...

Nilijua utatoa andiko linasema Yesu ni Mungu, sasa kama mtoto amezaliwa tena mtoto wa kiume,
Unakusudia kusema mungu ana jinsia? lakini mtoto amezaliwa wamaanisha kabla mtoto kuzaliwa hakukua na mungu? mama yake mtoto yeye atakuwa nani aliyemzaa yeye na kumlea huyo mtoto

mtoto wa kiume siku tunajua kwamba huyo atakuwa ni mtu na sio mungu, lete andiko yesu ni mungu

(Aliyesema kwa ajili yetu mtoto amezaliwa.. haya maneno alisema mwenyewe mtoto baada ya kuzaliwa ama alisema nani?
Uungu wa mtu siyo lazima that specific person a proclaim ....
Uungu means uweza beyond human capability...
Yesu alisamehe dhambi- Only God has the power of forgiveness.
Yesu alimfufua Lazaro...Ali claim kwa dada yake Lazaro kwamba yeye ndiye Ufufuo wenyewe..Only God can do that my friend.
 
Kwa sasa mataifa mengi ya Ulaya, Yale matabe ikiwemo Ujerumani, Yana hali mbaya kiuchumi, maendeleo yao kiteknolojia ni duni, hayana rasilimali watu (vijana) ndio maana yanapokea maelekezo toka US na kutii.
Hayana hata nishati ya bei nafuu, je unadhani watatamani vita?
 
Ufunuo 22:
(Revelation)

UFUNUO (22:16.) Mimi Yesu nimemtuma malaika wangu kuwashuhudia ninyi mambo hayo katika makanisa. Mimi ndimi niliye Shina na Mzao wa Daudi, ile nyota yenye kung'aa ya asubuhi.
Daah! Walokole mmesha uvamia Uzi wa watu! !!
 
Kwa sasa mataifa mengi ya Ulaya, Yale matabe ikiwemo Ujerumani, Yana hali mbaya kiuchumi, maendeleo yao kiteknolojia ni duni, hayana rasilimali watu (vijana) ndio maana yanapokea maelekezo toka US na kutii.
Hayana hata nishati ya bei nafuu, je unadhani watatamani vita?
Dah! Ujerumani Ina Hali mbaya ya kiuchumi?
 
Back
Top Bottom