Basi na wavamie Sweden na Finland ambazo nazo zimejiunga na NATO baada ya Urusi kuivamia Ukraine na zote zina share border na Russia. NATO imezidi kujitanua baada ya uvamizi wao.Kabla ya kumlaumu Putin zilaumu nchi za magharibi kwa kuvunja mkataba wao waliojiwekea na Urusi kuhusu kujitanua kuelekea kwa mwenzake. Putin ana haki ya kujilinda pia
Ujerumani ilichangiwa, Ukraine ya Leo Ndio sawa na USSR kipindi hicho...Wajerumani nao kwa gubu au bado wana kisasi tangu walivyopelekewa moto mwaka 45 na Mrusi , shida ya mrusi utampiga weee ukishaamini kachoka kabisa huyu ndio anaamka na kuanza kukubarthazar ukasimulie mbele huko
Nipe andiko linalosema hivyo.yesu sio mungu
HUna uhakika huo unajisemeshaHamna cha vita vya tatu vya dunia wala cha nini ni mikwara tu, watu waendelee na shughuli zao.
Alishambuliwa na Ukraine? Si angetumia diplomasia?Kabla ya kumlaumu Putin zilaumu nchi za magharibi kwa kuvunja mkataba wao waliojiwekea na Urusi kuhusu kujitanua kuelekea kwa mwenzake. Putin ana haki ya kujilinda pia
Acha bangi"naam tukiujua wakati,kwamba saa ya kuamka katika usingizi imekwisha kuwadia,maana wokovu wetu u karbu mno kuliko tulipoamini.warumi 13:11.
Yohana 8:40Nipe andiko linalosema hivyo.
πππππ€£Wajerumani nao kwa gubu au bado wana kisasi tangu walivyopelekewa moto mwaka 45 na Mrusi , shida ya mrusi utampiga weee ukishaamini kachoka kabisa huyu ndio anaamka na kuanza kukubarthazar ukasimulie mbele huko
Muhimu SanaVita itokee tupate mademu wa bure ( wakimbizi)
New York Post ni gazeti la udakuWakuu,
Mbona kama tunaelekea kwenye WWIII? Whats going on?
Siku ya Jumatano gazeti la New York Post limevujisha taarifa kuwa Ujerumani inajiandaa kupeleka askari wapatao 800,000 nchini Ukraine baada ya vitisho vya nyuklia kutoka Urusi kuongezeka.
Mpango huo umeitwa "Operesheni Deutschland" na una kurasa 1,000 na unalenga kuandaa Ujerumani kwa ajili ya vita vya Tatu vya Dunia
===============================================
Secret documents revealed Wednesday that Berlin has begun making plans for how it could help deploy as many as 800,000 NATO troops β including Americans β into Ukraine as Russiaβs nuclear saber-rattling reaches new heights.
βOperation Deutschlandβ is a 1,000-page plan to prepare Germany for the possibility of a World War III scenario.
The top-secret papers reportedly detail specific buildings and infrastructure to protect so they can be utilized by the military, and how businesses and civilians should prepare in case of increased threats, according to the German newspaper Frankfurter Allgemeine Zeitung.
They also suggested Berlin was preparing a way to push 200,000 military vehicles across German territory should the alliance be required to join Ukraineβs efforts, though further details were kept classified.
Germany has also advised citizens on ways to prepare for the worst by boosting their self-sufficiency through mechanisms including installing diesel generators or even wind turbines, according to the report.
Putin βplaying with our fearβ
The alarm is not contained to Germany. Sweden and Norway have also recently issued pamphlets and literature instructing citizens on how to prepare should the Ukraine conflict boil over into their countries.
The rising concern comes as Russian President Vladimir Putin formally changed the Kremlinβs nuclear strike policy on Tuesday, announcing that Moscow may now use nuclear weapons to respond to non-nuclear, βconventional weaponsβ strikes.
My take
Ni wazi kuwa tuko on the Brink of WWIII na wa kuwalaumiwa ni Biden na serikali yake!
Source: NY Post
Unajua hata sababu ya Hiyo vita au unaongea Tu !? Bendera kufuata mkumbo!?hv Putin angetoa majeshi ndan ya Ukraine tungefika huku ?je ni halali Urusi KUVAMIA Ukraine ? Watu kama ww soon mtaweuka
Ufunuo 22:Yohana 8:40
Lakini sasa mnatafuta kuniua mimi, mtu ambaye nimewaambia iliyo kweli, niliyoisikia kwa Mungu.
πππ Mbona hujamalizia?Isaya 9:6
Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto wa kiume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa Ajabu, ...
Nilijua utatoa andiko linasema Yesu ni Mungu, sasa kama mtoto amezaliwa tena mtoto wa kiume,
Unakusudia kusema mungu ana jinsia? lakini mtoto amezaliwa wamaanisha kabla mtoto kuzaliwa hakukua na mungu? mama yake mtoto yeye atakuwa nani aliyemzaa yeye na kumlea huyo mtoto
mtoto wa kiume siku tunajua kwamba huyo atakuwa ni mtu na sio mungu, lete andiko yesu ni mungu
(Aliyesema kwa ajili yetu mtoto amezaliwa.. haya maneno alisema mwenyewe mtoto baada ya kuzaliwa ama alisema nani?
Vita itokee tupate mademu wa bure ( wakimbizi)
Uungu wa mtu siyo lazima that specific person a proclaim ....Isaya 9:6
Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto wa kiume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa Ajabu, ...
Nilijua utatoa andiko linasema Yesu ni Mungu, sasa kama mtoto amezaliwa tena mtoto wa kiume,
Unakusudia kusema mungu ana jinsia? lakini mtoto amezaliwa wamaanisha kabla mtoto kuzaliwa hakukua na mungu? mama yake mtoto yeye atakuwa nani aliyemzaa yeye na kumlea huyo mtoto
mtoto wa kiume siku tunajua kwamba huyo atakuwa ni mtu na sio mungu, lete andiko yesu ni mungu
(Aliyesema kwa ajili yetu mtoto amezaliwa.. haya maneno alisema mwenyewe mtoto baada ya kuzaliwa ama alisema nani?
Daah! Walokole mmesha uvamia Uzi wa watu! !!Ufunuo 22:
(Revelation)
UFUNUO (22:16.) Mimi Yesu nimemtuma malaika wangu kuwashuhudia ninyi mambo hayo katika makanisa. Mimi ndimi niliye Shina na Mzao wa Daudi, ile nyota yenye kung'aa ya asubuhi.
Dah! Ujerumani Ina Hali mbaya ya kiuchumi?Kwa sasa mataifa mengi ya Ulaya, Yale matabe ikiwemo Ujerumani, Yana hali mbaya kiuchumi, maendeleo yao kiteknolojia ni duni, hayana rasilimali watu (vijana) ndio maana yanapokea maelekezo toka US na kutii.
Hayana hata nishati ya bei nafuu, je unadhani watatamani vita?