Pre GE2025 Ujerumani: Nchi ya watu Milioni 83 inasemekana wamemaliza kuhesabu kura ndani ya saa 8 baada ya kukamilisha kwa zoezi, Tanzania tuna la kujifunza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Masaa mawili matokeo yalikuwa tayari na Trump akatuma pongezi 🐼
 
Hahahahaha, yaani Africa mtu alale awaachie watu mabox ya kura vituoni, hahahahaha.

Viongozi wa Africa hawajiamini linapofika suala la uchaguzi, matokeo yake ni kuhakikisha matokeo wanayajua kwanza wao mapema ili wafanye manipulation.
 
chaguzi za Tanzania huvurugwa na kucheleweshwa zaidi na vibaka na matapeli wa siasa kwamfano wa fujo za wale jamaa wa no reform no elections n.k,

Lakini matokeo ndani ya masaa10-12 inawezekana kabisa 🐒
Kweli uko ovyo! SM ndio Chanzo Cha vulugu hawataki kutangaza hasa kule walikoshindwa, Wewe unalijua ila unashupaza shingo!
 
Mbona mda mrefu sana huo
Ilipaswa kuwa 1hr kama wangetumia tech vizuri
Hawastahili pongezi
 
Kweli uko ovyo! SM ndio Chanzo Cha vulugu hawataki kutangaza hasa kule walikoshindwa, Wewe unalijua ila unashupaza shingo!
Matokeo hutangazwa na Tume huru ya uchaguzi Tanzania na sio poyoyo au kibaka yeyote gentleman 🐒
 
Sasa wahamiaji wanalo naona vyama vyote viwili vinavyoongoza kwa kura sera ni kubana wahamiaji haramu
 

Tatizo la Tanzania ni wizi wa kura wa CCM. Kura zinazoletwa kwenye mabegi huwa zinawapa shida kuzibalance. Miaka 5 baada ya uchaguzi wameshindwa kuchapisha kwenye government gazette kura za Urais ikionyensha kuwa wameshindwa kuzibalance ... hii inaonyesha ni kiasi gani wizi kura umekuwa institutionized.
 
Lissu analamika pekee yake tunamuina chizi
 
Zanzibar wapo laki 5 lakini matokeo yanatangazwa baada ya week.
 
Huku inachukus muda kujaza kura za bandia wakihesabu na kuona hazitoshi wanarudia tena na tena kujaza nyingine hata ikichukua mwezi mzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…