Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu , unataka kuwauza mbogamboga nini? Haya ngoja tuone.Hii ni ya kuigwa kweli kweli!
Sisi kama Watanzania na tume yetu Huru ya uchaguzi kuna jambo la kujifunza.
Ujerumani ni nchi ya watu mil 83, wamefanya uchaguzi mkuu jana uliokuwa na ushindani mkubwa sana na ukifuatiliwa ulimwenguni kote.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Inasemekana masaa nane baada ya uchaguzi, wameshamaliza zoezi la kuhesabu kura na matokeo ya awali yametoka, matokeo ambayo huwa hayatofautiani pakubwa na matokeo rasmi. Tume yetu Huru ya Uchaguzi iige mfano huu, matokeo yajulikane mapema na siyo hadi kutokee mivutano ndipo yatangazwe hasa yale ya wabunge na madiwani.
View: https://x.com/visegrad24/status/1893836848947937395?t=B5aNLlv3H1FXgIG6cxFJ9Q&s=19
Tuwaige wajerumani ?Hii ni ya kuigwa kweli kweli!
Chadema uchaguzi wa Mwenyekiti Wapiga Kura 1000 Matokeo Kesho yake 😂😂Nyie hata kuiba kura hadi mtumie week nzima. Bure kabisa ccm na tume yenu
Kama yale ya Hai mwaka ule.chaguzi za Tanzania huvurugwa na kucheleweshwa zaidi na vibaka na matapeli wa siasa kwamfano wa fujo za wale jamaa wa no reform no elections n.k,
Lakini matokeo ndani ya masaa10-12 inawezekana kabisa 🐒
Kweli uko ovyo! SM ndio Chanzo Cha vulugu hawataki kutangaza hasa kule walikoshindwa, Wewe unalijua ila unashupaza shingo!chaguzi za Tanzania huvurugwa na kucheleweshwa zaidi na vibaka na matapeli wa siasa kwamfano wa fujo za wale jamaa wa no reform no elections n.k,
Lakini matokeo ndani ya masaa10-12 inawezekana kabisa 🐒
Matokeo hutangazwa na Tume huru ya uchaguzi Tanzania na sio poyoyo au kibaka yeyote gentleman 🐒Kweli uko ovyo! SM ndio Chanzo Cha vulugu hawataki kutangaza hasa kule walikoshindwa, Wewe unalijua ila unashupaza shingo!
sikumbuki gentleman,Kama yake ya Hai mwaka ule.
Sisi kama Watanzania na tume yetu Huru ya uchaguzi kuna jambo la kujifunza.
Ujerumani ni nchi ya watu mil 83, wamefanya uchaguzi mkuu jana uliokuwa na ushindani mkubwa sana na ukifuatiliwa ulimwenguni kote.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Inasemekana masaa nane baada ya uchaguzi, wameshamaliza zoezi la kuhesabu kura na matokeo ya awali yametoka, matokeo ambayo huwa hayatofautiani pakubwa na matokeo rasmi. Tume yetu Huru ya Uchaguzi iige mfano huu, matokeo yajulikane mapema na siyo hadi kutokee mivutano ndipo yatangazwe hasa yale ya wabunge na madiwani.
View: https://x.com/visegrad24/status/1893836848947937395?t=B5aNLlv3H1FXgIG6cxFJ9Q&s=19
YeahHii ni ya kuigwa kweli kweli!