Pre GE2025 Ujerumani: Nchi ya watu Milioni 83 inasemekana wamemaliza kuhesabu kura ndani ya saa 8 baada ya kukamilisha kwa zoezi, Tanzania tuna la kujifunza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ujerumani ni nchi ya dunia ya kwanza Tanzania inatafuta kuufikia uchumi wa kati hatua ya juu, ni vitu viwili tofauti.

Ujerumani ni mfadhili wa Tanzania kiuchumi.
 
Mkuu nikupe changamoto, jimbo la Kinondoni linashindwa vipi kumaliza kuhesabu kura kwa siku tatu? Yaani linakuwa sawa na Jimbo la Malinyi?
 
Mercedes-Benz hao wapo mbali sana hao wenzetu waligundua Benz inayotumia matairi matatu mwaka 1885-1886 sisi vitu vinavyotumia matairi matatu tunatumia 2025 vimeboreshwa na kuwa Bajaji sasa kaangalie Mercedes ya 2025.
Watanzania mambo mengine tunajicheleweshaga wenyewe
 
sawa
 
....za dijitali ambapo simu ziko kila mahali unahitaji miondombinu gani kutoa matoke ya uchaguzi n...
Kama inasemekana baadhi ya mabenk katika nchi za Afrika mashariki zimepigwa karibu 80 billion kimtandao seuze kura za kidigital... Trump mwenyewe aliibiwa kura....!!! Ndiyo maana safari hii kaingia kivingine.
 
Ujerumani ni nchi ya dunia ya kwanza Tanzania inatafuta kuufikia uchumi wa kati hatua ya juu, ni vitu viwili tofauti.

Ujerumani ni mfadhili wa Tanzania kiuchumi.
Kuhesabu kura na kutoa matoke muda mfupi haitegemeani na maendeleo ya nchi. Teknolojia zipo na nchi yetu inamudu vizuri kuzinunua.

Kama Mozambique, Malawi wanaweza sisi tunashindwa nini?
 
Chadema wajumbe 1,200 walitumia siku 2 🤣🤣🤣
 
Bongoland ni nchi ya vichekesho. Watu ni wabunifu kwenye uchawa na wizi tu.
 
Kuna chama uchaguzi wa baraza tu watu walikaa siku nne. Yanga bingwa
 
Mercedes-Benz hao wapo mbali sana hao wenzetu waligundua Benz inayotumia matairi matatu mwaka 1885-1886 sisi vitu vinavyotumia matairi matatu tunatumia 2025 vimeboreshwa na kuwa Bajaji sasa kaangalie Mercedes ya 2025.
Tena ni guta sio gari pigia mtari hapo,kabla ya toyo tulianza gundua guta,nakumbuka kuna jamaa mmoja alikua anapita morogoro road na guta lake limejaza km tani moja plus anakimbia nalo mpk mjini toka mabibo au tandale sokoni mwamba alikua anaimba njia nzima
 
Hahaahaha ety malinyi...wilaya ipo pembeni sana yani.....ety wanaita morogoro ile
Mkuu nikupe changamoto, jimbo la Kinondoni linashindwa vipi kumaliza kuhesabu kura kwa siku tatu? Yaani linakuwa sawa na Jimbo la Malinyi?
hahahha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…