Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Sisi kama Watanzania na tume yetu Huru ya uchaguzi kuna jambo la kujifunza.
Ujerumani ni nchi ya watu mil 83, wamefanya uchaguzi mkuu jana uliokuwa na ushindani mkubwa sana na ukifuatiliwa ulimwenguni kote.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Inasemekana masaa nane baada ya uchaguzi, wameshamaliza zoezi la kuhesabu kura na matokeo ya awali yametoka, matokeo ambayo huwa hayatofautiani pakubwa na matokeo rasmi. Tume yetu Huru ya Uchaguzi iige mfano huu, matokeo yajulikane mapema na siyo hadi kutokee mivutano ndipo yatangazwe hasa yale ya wabunge na madiwani.
View: https://x.com/visegrad24/status/1893836848947937395?t=B5aNLlv3H1FXgIG6cxFJ9Q&s=19
Ujerumani ni nchi ya dunia ya kwanza Tanzania inatafuta kuufikia uchumi wa kati hatua ya juu, ni vitu viwili tofauti.
Ujerumani ni mfadhili wa Tanzania kiuchumi.