Ujerumani yaipigia magoti Canada irejeshe injini (ipo kwenye vikwazo) ya mitambo ya gesi ya Urusi Ujerumani, ili kuiokoa Ujerumani na uhaba wa gesi

Wajanja tulishajua kitambo tu kuwa ngoma ikilia sana hupasuka, nakazia USA na EU wapigwe tu ili watambue hii dunia ni yetu sote.
 
Umeandika kishabiki maandazi sana. Umesema wamewapigia magoti Canada, mara wamechezea mkong,oto mkali kutoka kwa Canada
 
Umechanganyikiwa wewee, kunywa maji baridi utulize munkari kisha usome tena ili uelewe...
 
Canada yaondoa vikwazo vya Urusi ili kupunguza uhaba wa gesi wa Ujerumani.

Kanada imekubali kusafirisha turbine ya gesi asilia kurudi Ujerumani kwa matumizi katika bomba la Nord Stream2, ikitoa kibali cha "muda kinachoweza kubatilishwa" ili kuiondoa Ugermany kwenye mmzozo kwa tasnia ya mafuta na gesi ya Urusi.

Maafisa wa Ujerumani wameitaka Kanada kutafuta njia ya kurudisha turbine hiyo, wakihofia Urusi itatumia suala hilo kama kisingizio cha kufunga Nord Stream1 na kulemaza uwezo wa Ujerumani wa kujaza matanki yake ya kuhifadhi gesi kabla ya majira ya baridi.

Hii imekuja baada ya mzozo mbaya na wa hatari iliotokea Srilanka ulioperekea kiongozi mkuu wa taifa ilo kujiuzulu.
 
Umeandika kishabiki maandazi sana. Umesema wamewapigia magoti Canada, mara wamechezea mkong,oto mkali kutoka kwa Canada
Canada yaondoa vikwazo vya Urusi ili kupunguza uhaba wa gesi wa Ujerumani.

Kanada imekubali kusafirisha turbine ya gesi asilia kurudi Ujerumani kwa matumizi katika bomba la Nord Stream2, ikitoa kibali cha "muda kinachoweza kubatilishwa" ili kuiondoa Ugermany kwenye mmzozo kwa tasnia ya mafuta na gesi ya Urusi.

Maafisa wa Ujerumani wameitaka Kanada kutafuta njia ya kurudisha turbine hiyo, wakihofia Urusi itatumia suala hilo kama kisingizio cha kufunga Nord Stream1 na kulemaza uwezo wa Ujerumani wa kujaza matanki yake ya kuhifadhi gesi kabla ya majira ya baridi.

Hii imekuja baada ya mzozo mbaya na wa hatari iliotokea Srilanka ulioperekea kiongozi mkuu wa taifa ilo kujiuzuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…