Canada yaondoa vikwazo vya Urusi ili kupunguza uhaba wa gesi wa Ujerumani.
Kanada imekubali kusafirisha turbine ya gesi asilia kurudi Ujerumani kwa matumizi katika bomba la Nord Stream2, ikitoa kibali cha "muda kinachoweza kubatilishwa" ili kuiondoa Ugermany kwenye mmzozo kwa tasnia ya mafuta na gesi ya Urusi.
Maafisa wa Ujerumani wameitaka Kanada kutafuta njia ya kurudisha turbine hiyo, wakihofia Urusi itatumia suala hilo kama kisingizio cha kufunga Nord Stream1 na kulemaza uwezo wa Ujerumani wa kujaza matanki yake ya kuhifadhi gesi kabla ya majira ya baridi.
Hii imekuja baada ya mzozo mbaya na wa hatari iliotokea Srilanka ulioperekea kiongozi mkuu wa taifa ilo kujiuzulu.