Ujerumani yaipigia magoti Urusi kuiomba kukubali kupokea spea ya Turbine inayotumika kwenye Nord stream1

Inabidi na wao wapunguze weapons flowing to Ukraine.
 
Baniani mbaya, kiatu chake dawa. Ila tujifunze hapa. Marekani itawawekea vikwazo wale ambao watafanya biashara na Mataifa ambayo wana uhasama nayo. Nchi nyingi za Afrika zinaangukia hapo. Lakini maji yakizidi unga, huna budi kunyenyekea. Je, utakuwa tayari watu wako waathirike ili tu kumpendeza fulani? Hebu tuone nini wataifanyia Ujerumani kwa hilo wanaloliomba kwa Warusi.
 
Basi wewe ni jasusi mzuri sana mpaka umegundua mipango ya waingereza hahahaah...god bless Tanzania
 
Nionyeshe sehemu kwenye haya maneno yanayosema TUNAPIGA MAGOTI au TUKO CHINI YA MIGUU YAKO.....Kinyume na hapo punguza mahaba siku hizi ukikoswa na mimba harisi kuna ya kupandikiza....
 
Kilio chake kinahuzunisha utasema ni mke aliyeachwa.
 
Hivi mshaona kwenye mechi mpaka kuna muda mechi zinaahirishwa ile barafu huwa inadondoka. Vado miezi mingapi tufikie kipindi kile cha barafu Ulaya, msgawqza bila gesi majumbani waty wataishije? Muda wa viongozi wa Ulaya sasa nao kulia, na stoku inarlekea kukata na mwamba hapampu gesi kwenda Ulaya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ikifikia kipindi cha baridi hakuna viongozi Ulaya watang'oka.kwa maandamano ya raia
 
Ama kwel Tanzania ni taifa la tatu kwa ujasusi duniani

Mkuu nimesoma vizuri masuala haya ya instrumentation and control systems, sisemi mambo ya kubuni hapa, have hand on experience kwenye Siemens,Matsubishi na Madicon programmable logic controllers najua vizuri jinsi zinavyo weza kuchezewa kwa kuongezewa an embedded subroutine programs zinajifyatua at opportune time na kuharibu machine beyond repair-tunapo sema vitu vya teknolojia kuna mambo mengi tunayafikiria.

Unaposema Tanzania la tatu kwa ujasusi sijui kama unamaanisha au ni njia ya kunikejeri - wakati mwingine ndio baadhi ya Watanzania tulivyo, mpaka aseme ngozi nyeupe ndio wanachukuliwa seriously.
 
Sasa kama amesoma vizuri hayo mambo mm ni nan nikubishie ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…