Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Ujerumani yazuia mkusanyiko wa watu zaidi ya wawili katika kupambana na #Covid19
Mamlaka zinasema, zuio hilo ni sahihi zaidi kuliko kuwataka watu wabaki nyumbani
Hadi sasa #Covid19 imeua watu 13,500 na watu 313,000 wameambukizwa ugonjwa huo

====
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amesema, zuio hilo ni sahihi zaidi kuliko kuwataka watu wabaki nyumbani. Watakao kiuka wanaweza pata adhabu
Kusanyiko la watu zaidi ya wawili linaloweza kuruhusiwa ni la watu wa familia moja wanaoishi pamoja. Pia wametakiwa kuongea kwa umbali wa mita 1.5 hadi 2.0
Zaidi Merkel alisema migahawa, saluni, na maduka ya wachora tatuu yatafungwa. Hadi sasa #Covid19 imeua watu 13,500 na watu 313,000 wameambukizwa ugonjwa huo
Chanzo: DW