Waliozileta ndio wenye dini? Ni dini gani iliyoanzia ulaya, naomba unieleweshe ili tujadiliane vizuri.
Unachanganya mambo.ni imani za uongo. Maombi wala sala haziwezi kusolve matatizo yetu.
dini ni nyenzo inayotumiwa na tabaka tawala kuwahadaa na kuwapumbaza watawaliwa.
1. Kwa kuwaaminisha watu kuwa mamlaka yao ya kutawala 'yametoka kwa Mungu'.
2. Kuwataka watu wasiwe na tamaa ya maisha mazuri hapa duniani, wangojee wakifa ndio watafaidi wakienda huko mbinguni 🤣🤣🤣🤣. Wakati huohuo hao watawala wanaishi maisha ya kifahari kwa gharama za watawaliwa hapa hapa duniani.
Unachanganya mambo.
Mbona zilipoanzia dini huko wao wapo tofauti na sisi hali dini ni hio hio moja uislam WA china,uarabuni tza ndio huo huo
Yesu alizaliwa Jerusalemu je wazazi wake walikuwa wakiishi hapo? Hapana.Unahamisha mada sababu imani ya kidini imekujaa. Hujui imani za madhehebu ya kikristo ni dini ya wazungu.
Wayahudi wenyewe ambapo Yesu amezaliwa hawaabudu dini ya kikristo
Kwani wana Qurani au biblia tofauti na zetuUislamu wa china na Tanzania haufanani una tofauti nyingi tu. Mfano
Uislamu wa china hakuna kwenda madrassa kila siku na hakuna kusali ki arabu . Muislamu wa china haruhusiwi kuona wake wanne..sheria za china haziruhusu ndoa za wake wanne.
Why useme uislamu upo sawa ?
Saudi arabia uislamu ni chanzo chao cha mapato. Watu wanapoenda kuhiji serikali ya saudi arabia inaingiza hela ma trillioni.
Nimeongelea vitu vitano. Ulivyotekwa na imani za kidini...unaongelea hoja ya dini tu .
Ulitaka uwe unaburuzwa kama kondoo ndo ufurahi.kama akili ni chache ni chache tu acha kusingizia demokrasia.Demokrasia ndio ujinga mkubwa kutokea Tanzania.
Yesu alizaliwa Jerusalemu je wazazi wake walikuwa wakiishi hapo? Hapana.
Bahati mbaya haujui dini zote mbili asili yake ni sehemu moja ndiyo sababu huko huwa hawagombani kidini bali wanashirikiana huku sisi tunajaribu kuwashawishi wagomane.
Namalizia kwa kukunulisha hakuna dini iliyoanzia ulaya kama unavyodhani, ukifuatilia kwa karibu sana uisilamu na ukatoliki utanielewa.
Napinga uwepo wa dini za wakoloni.Unahamisha mada stay kwenye hoja.
Point zipo 5 zimetajwa. Kama unapinga point mojawapo weka hoja zako za kupinga tukuelewe
wewe na ukoo wako mnaburuzwa na CCM miaka kibao ,mnabaki maskini ti hamna maendeleo.Ulitaka uwe unaburuzwa kama kondoo ndo ufurahi.kama akili ni chache ni chache tu acha kusingizia demokrasia.