Ujinga, maradhi, umaskini, imani za kishirikina na imani za kuamini dini za wakoloni ndio maadui wa Tanzania

Ujinga, maradhi, umaskini, imani za kishirikina na imani za kuamini dini za wakoloni ndio maadui wa Tanzania

Waliozileta ndio wenye dini? Ni dini gani iliyoanzia ulaya, naomba unieleweshe ili tujadiliane vizuri.

Unahamisha mada sababu imani ya kidini imekujaa. Hujui imani za madhehebu ya kikristo ni dini ya wazungu.

Wayahudi wenyewe ambapo Yesu amezaliwa hawaabudu dini ya kikristo
 
Religion is Biggest SCAM ever to exist in the world.
 
ni imani za uongo. Maombi wala sala haziwezi kusolve matatizo yetu.

dini ni nyenzo inayotumiwa na tabaka tawala kuwahadaa na kuwapumbaza watawaliwa.

1. Kwa kuwaaminisha watu kuwa mamlaka yao ya kutawala 'yametoka kwa Mungu'.

2. Kuwataka watu wasiwe na tamaa ya maisha mazuri hapa duniani, wangojee wakifa ndio watafaidi wakienda huko mbinguni 🤣🤣🤣🤣. Wakati huohuo hao watawala wanaishi maisha ya kifahari kwa gharama za watawaliwa hapa hapa duniani.
Unachanganya mambo.
Mbona zilipoanzia dini huko wao wapo tofauti na sisi hali dini ni hio hio moja uislam WA china,uarabuni tza ndio huo huo
 
Moja Umasikini unaosababishwa na Imani (Kutajirisha Matapeli) iwapo hawa masikini wanabakia na tonge la kula Masikini hao ni kama wananunua a feel good factor (an Opium you might say) sababu bila hivyo watu hawa wangekuwa miserable / miss something

Mbili: Kwenye Umasikini unaosababishwa na Sera mbovu na unyonyanyi inabidi watu wengi wawe na hope (kwamba tomorrow Yes, au haya yana mwisho n.k.) Sababu bila ya hivyo hawa watu ambao wamekata Tamaa wakiamua kwamba kwanini SISI na SIO WAO.., basi Civilization will Cease to exist...

Ili kuondoa hizi Imani au ukitaka watu wasiamini wapatia a Just Civilized Society Bila hivyo lazima uwape a Reason ya kuwaaminisha kwamba they are suffering for a reason....

In Conclusion... Maybe There are times when you are better off not knowing things....
 
Unachanganya mambo.
Mbona zilipoanzia dini huko wao wapo tofauti na sisi hali dini ni hio hio moja uislam WA china,uarabuni tza ndio huo huo

Uislamu wa china na Tanzania haufanani una tofauti nyingi tu. Mfano
Uislamu wa china hakuna kwenda madrassa kila siku na hakuna kusali ki arabu . Muislamu wa china haruhusiwi kuoa wake wanne..sheria za china haziruhusu ndoa za wake wanne.

Why useme uislamu upo sawa ?

Saudi arabia uislamu ni chanzo chao cha mapato. Watu wanapoenda kuhiji serikali ya saudi arabia inaingiza hela ma trillioni.

Nimeongelea vitu vitano. Ulivyotekwa na imani za kidini...unaongelea hoja ya dini tu .
 
Unahamisha mada sababu imani ya kidini imekujaa. Hujui imani za madhehebu ya kikristo ni dini ya wazungu.

Wayahudi wenyewe ambapo Yesu amezaliwa hawaabudu dini ya kikristo
Yesu alizaliwa Jerusalemu je wazazi wake walikuwa wakiishi hapo? Hapana.
Bahati mbaya haujui dini zote mbili asili yake ni sehemu moja ndiyo sababu huko huwa hawagombani kidini bali wanashirikiana huku sisi tunajaribu kuwashawishi wagomane.
Namalizia kwa kukunulisha hakuna dini iliyoanzia ulaya kama unavyodhani, ukifuatilia kwa karibu sana uisilamu na ukatoliki utanielewa.
 
Uislamu wa china na Tanzania haufanani una tofauti nyingi tu. Mfano
Uislamu wa china hakuna kwenda madrassa kila siku na hakuna kusali ki arabu . Muislamu wa china haruhusiwi kuona wake wanne..sheria za china haziruhusu ndoa za wake wanne.

Why useme uislamu upo sawa ?

Saudi arabia uislamu ni chanzo chao cha mapato. Watu wanapoenda kuhiji serikali ya saudi arabia inaingiza hela ma trillioni.

Nimeongelea vitu vitano. Ulivyotekwa na imani za kidini...unaongelea hoja ya dini tu .
Kwani wana Qurani au biblia tofauti na zetu
 
Yesu alizaliwa Jerusalemu je wazazi wake walikuwa wakiishi hapo? Hapana.
Bahati mbaya haujui dini zote mbili asili yake ni sehemu moja ndiyo sababu huko huwa hawagombani kidini bali wanashirikiana huku sisi tunajaribu kuwashawishi wagomane.
Namalizia kwa kukunulisha hakuna dini iliyoanzia ulaya kama unavyodhani, ukifuatilia kwa karibu sana uisilamu na ukatoliki utanielewa.

Unahamisha mada stay kwenye hoja.

Point zipo 5 zimetajwa. Kama unapinga point mojawapo weka hoja zako za kupinga tukuelewe
 
Ulitaka uwe unaburuzwa kama kondoo ndo ufurahi.kama akili ni chache ni chache tu acha kusingizia demokrasia.
wewe na ukoo wako mnaburuzwa na CCM miaka kibao ,mnabaki maskini ti hamna maendeleo.
 
Back
Top Bottom