Ujinga mwingine nikudhani kila jambo unaweza kulitolea ufafanuzi

Kama jambo hauna maarifa nalo tulia ujifunze kwa wenye ujuzi nalo, punguzeni/acheni hivyo vitabia vichafu chafu vyakujifanya kila jambo mnalijua mnapoteza jamii.
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...


Cc: Mahondaw
 
Kusema mtu mwingine anajifanya anajua, ni kudhihirasha kuwa anajua, maana kama asingejua asingejifanya
Naelewa watu wenye tabia hizi lazima muendeleze ujuaji wenu kwenye uzi huu. Tabia ni ngozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…