Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 1,530
- 1,903
jamani nafsi na roho yangu vinanishudia kuwa Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti wa chadema, nimeumia sana baada ya kuona hili jambo linaenda kutendeka, ukisoma vzr sana walaka wa marehemu "chacha wangwe" utagundua kuwa Mbowe sio rahisi kushindwa uchaguzi kwa sbb ya ujinga mkubwa, na umasikini wa wajumbe wa chadema, mbali na kwamba Mbowe anatuhuma nzito kabisa toka mda mrefu tangu amekuwa mwenyekiti wa chadema lakini BAdo ameendelea kuwa mwenyekiti wa chadema wa Taifa sio kwa ssb anapendwa ila kwa ssb ya ujinga na umasikini wa wajumbe wa mkutano mkuu
na watanzania kwa ujumla watanzania. tuhuma zake ni
1. Matumizi mabaya ya fedha za ruzuku ya CHAMA
2. Kupendelea wachaga wengi kuwa makao makuu
3. Kupendelea viti vya wambunge
4.matumizi mabaya ya madaraka
5. Kuendekeza ukanda wa kaskazini. Hii ni kwa mujibu wa walaka wa marehemu chacha wangwe. Zaidi ya miaka 20 mtu huyu anatuhumiwa na viongozi wenzake tofauti, zito kabwe,chacha wangwe, Dr silaa, na leo hii ni Tundu Lisu cha ajabu na kushangaza sana bado ni mwenyekiti na wote wanaomtuhumu wanakuwa "kick out "ya CHAMA , ukiwa na akili timamu bila kutumia emotions zako utagundua kuwa;
a) Wanachama wa chadema hasa wajumbe wa mkutano mkuu, ni wajinga, wa kiwango cha juu sana, inatia shaka hata elimu zao.
B) viongozi wa kanda, mikoa,wilaya, wengi wao ni masikini wa mali na fikra.
) Pia utajua kuwa Lisu ndio mpinzani wa kweli asie ogopa .
d) vile vile utajua kuwa Mbowe ni shadow wa serikali ya ccm hivyo ni ngumu kumtoa hapo kama mwenyekiti wa chadema kwa sbb yupo kwenye kaz maalumu kitengo cha siasa, kwa maana hiyo mbeleni huko nje na chadema na mbowe tutegemee serikali kutuletea mtu mwingine mbali Lisu awe shadow kwa ajili ya mchezo enedelevu, kwa ssb Mbowe atakuwa amepotea mvuto kwenye CHAMA na mbele ya watanzania.
NB Lisu usiondoke chadema no matter how ?" Haya yatakuwa justified January 23 2025 Nawatakia heri ya mwaka mpya 2025 ,Mungu ibariki Chadema
chini ya Lisu,Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.